Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury ni Joseph Ngeleuya

zanku

Member
Jun 9, 2020
69
149
Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.

Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatikana Kila mahali.

Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina mbalimbali zikiwemo basi hizi zilizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa nchini.

Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746

Case Closed. Tuache kuzusha mambo.

Property By Joseph Didas Ngeleuya

IMG-20221227-WA0000.jpg
Screenshot_20221227-153803.jpg
Screenshot_20221227-153740.jpg
FB_IMG_1672144641935.jpg
 
Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina mbalimbali zikiwemo basi hizi zilizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa nchini.

Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746

Case Closed. Tuache kuzusha mambo.
Mkuu zanku , kwanza Hakuna kosa lolote kisheria mtu yoyote kuwa a silent partner kwenye biashara yoyote, as long as hizo fedha za mtaji ni fedha halali!.

Pili asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.

P
 
Huyo jamaa ni pazia tu ,silent partners ni Mwigulu Nchemba, Job Ndugai
Umaskini utakuua

Mwigulu akimiliki wewe kinakuwasha nini?

Sifa ya mtu mwenye pepo la umaskini ni kushinda akiongelea matajiri negatively

Hapahitajiki nabii kukujua kuwa wewe lofa ambaye umepigika kimaisha choka mbaya wewe

Nenda kwa Mwamposya akalikemee hilo pepo lako la umaskini likutoke
 
Shukrani kwa taarifa nzuri, ili kutuondoa Mawenge tuliyonayo tusaidie,

1. Historia ya Mmiliki wa hayo Mabasi .

2. Namna ambavyo alipata Mtaji wa Biashara.

3. Partners wake kwenye Biashara

4. Hapo nimeona taarifa ya Mwaka 2022. Hayo Mabasi yapo kabla ya 2022. Je kabla ya hapo nani alikuwa akimiliki hayo Mabasi?

NB:
Taarifa hizi muhimu zitatusaidia kujua kama Kampuni inahusika na Utakatishaji pesa ama la.
 
Asante kwa kuumaliza utata huu, na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.

P
Mkuu Pascal Mayalla pia aelezee chanzo mtaji wa mdau aliyekubali kula hasara ya jezi za simba.
 
Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.

Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatika Kila mahali.

Mmliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina tofauti tofauti zikiweno basi zikizokuwa zikihusihwa na Mwanasiasa mmoja hapa Nchini.

Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746

Case Closed. Tuache kuzusha mambo.View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Kawekewa pesa mfukoni anunue kisha ausimamie huo mradi
 
Back
Top Bottom