Nakiri, nimesoma Ripoti yote ya CAG, Taarifa zote za Kamati ya PAC, LAAC na PIC, Mwigulu Nchemba hajatuibia. Wabaya wake wanamsingizia

zanku

Member
Jun 9, 2020
69
149
IMG-20231104-WA0065.jpg

Mwandishi nguli wa kujitegemea Idris Sebuleni ameandika katika ukurasa wake wa Twitter (x) maneno haya. Namnukuu"

"Nimesoma ripoti yote ya CAG, Taarifa za LAAC, PAC na PIC hakuna mahali Mwigulu ametajwa kuhusika na wizi wa hata thumuni.

Hakuna sehemu hata moja imetaja ameshiriki kusababisha hasara ya hata senti moja.

Facts zimeongea, Propaganda dhidi yake zimeshindwa kwa mara nyingine" Mwisho wa kumnukuu.

MAONI YANGU MIMI KUHUSU HIKI ALICHOANDIKA MKONGWE HUYU;

Ni kweli Mwigulu Nchemba hajatajwa kokote kuhusika na wizi yeye kama mtu binafsi, lakini wizara yake imetajwa japokuwa kipindi tukio hili la upigaji linafanyika yeye hakuwa waziri wa fedha, bali mtangulizi wake.

Nilitegemea Mwigulu Nchemba amtaje mhusika wa hilo tukio bungeni lakini aliufyata, na hilo ndo linamfanya aonekane anahusika kumbe angaweza kumtaja mhusika na mambo yakaisha.

Alamski.
 
Ripoti ipi inayotengenezwa na watumishi wa hii serikali ya kijani unayoiamini kuwa ni safi!

Kila CAG anayetoka, anaona madudu yaliyoachwa na mtangulizi wake, USHTUKI?

Kama walisema wizara ya fedha ilikopa 1.7t bila ridhaa ya yeyote chini ya Madelu, na hazionekani kufanyia la maana, labda Esther na Singida Big Stars

CAG hakuwahi kumtaja Magu kuhusika na upotevu wa 1.5t, kwanini mpaka leo anahusishwa?

Pesa za mashirika ya umma, bado ziko channelled Hazina? Kama ndio, upotevu wote huo kwenye mashirika hauna baraka za wizara?
 
View attachment 2804306
Mwandishi nguli wa kujitegemea Idris Sebuleni ameandika katika ukurasa wake wa Twitter (x) maneno haya. Namnukuu"

"Nimesoma ripoti yote ya CAG, Taarifa za LAAC, PAC na PIC hakuna mahali Mwigulu ametajwa kuhusika na wizi wa hata thumuni.

Hakuna sehemu hata moja imetaja ameshiriki kusababisha hasara ya hata senti moja.

Facts zimeongea, Propaganda dhidi yake zimeshindwa kwa mara nyingine" Mwisho wa kumnukuu.

MAONI YANGU MIMI KUHUSU HIKI ALICHOANDIKA MKONGWE HUYU;

Ni kweli Mwigulu Nchemba hajatajwa kokote kuhusika na wizi yeye kama mtu binafsi, lakini wizara yake imetajwa japokuwa kipindi tukio hili la upigaji linafanyika yeye hakuwa waziri wa fedha, bali mtangulizi wake.

Nilitegemea Mwigulu Nchemba amtaje mhusika wa hilo tukio bungeni lakini aliufyata, na hilo ndo linamfanya aonekane anahusika kumbe angaweza kumtaja mhusika na mambo yakaisha.

Alamski.

Mbuzi hizi
 
Wewe ni umbwaaa halisi
 
Kwa nini waandishi wa habari wamegeuka adui wa Watanzania Kwa maslahi ya wachache?
 
Sifahamu kwa nini, Jamaa anaonewa wivu kwelikweli,mfano, Bw. Mpina anawivu usioweza kujificha maana upo waziwazi, Bw mpina uongozi ni kupokezana vijiti, busara ni kukaa kimya kuliko kutuhumu pasipo na ushahidi wa kina, "nchi imeibiwa Trilion 200,wakati tunakusanya Trilion 50 na ushee, huoni unajiaibisha.
Kwani anaiba ambazo tunakusanya tu? Zile zinazotoka nje ya uwezo wetu wa budget? EU, China, World Bank?? Sisemi kuwa Mwigulu kaiba ila huku kuteteana kichawa chawa kunatia shaka
 
Tuweke uchawa pembeni, thibitisha hapa weka kielelezo, hapa, "watu wengi hufupisha umri wao kwa kuwa na roho mbaya za ajabu ajabu" hatimaye kusababisha mwili kunyongonyea bure na kujifia kwa uchungu mkali just for hearsay!"
 
View attachment 2804306
Mwandishi nguli wa kujitegemea Idris Sebuleni ameandika katika ukurasa wake wa Twitter (x) maneno haya. Namnukuu"

"Nimesoma ripoti yote ya CAG, Taarifa za LAAC, PAC na PIC hakuna mahali Mwigulu ametajwa kuhusika na wizi wa hata thumuni.

Hakuna sehemu hata moja imetaja ameshiriki kusababisha hasara ya hata senti moja.

Facts zimeongea, Propaganda dhidi yake zimeshindwa kwa mara nyingine" Mwisho wa kumnukuu.

MAONI YANGU MIMI KUHUSU HIKI ALICHOANDIKA MKONGWE HUYU;

Ni kweli Mwigulu Nchemba hajatajwa kokote kuhusika na wizi yeye kama mtu binafsi, lakini wizara yake imetajwa japokuwa kipindi tukio hili la upigaji linafanyika yeye hakuwa waziri wa fedha, bali mtangulizi wake.

Nilitegemea Mwigulu Nchemba amtaje mhusika wa hilo tukio bungeni lakini aliufyata, na hilo ndo linamfanya aonekane anahusika kumbe angaweza kumtaja mhusika na mambo yakaisha.

Alamski.
Esther unajitahidi kweli kweli kumtetea mumeo
 
Back
Top Bottom