Recent content by ZANDRANY

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Home Shopping Centre wazusha taharuki Kariakoo

    Natoa pongezi kwako Mhe.Mwakyembe, endelea kusukuma huo mkakati ili makusanyo ya Bandari yawe halisi, maana hao TRA wenyewe wameshajipambanua wako sambasamba na wakwepa kodi. Ktk mkutano kati ya Waziri wa Fedha na Makamishina wa TRA na Forodha, Makampuni ya Wakala na Wafanya biashara wa...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Dar: Mihadhara ya kidini yapigwa marufuku!

    Radio na magazeti, machapisho ya vijarida pamoja na vipeperushi vina athari kubwa sana katika suala zima la uchochezi na ukiukwaji wa amri aliyoitoa huyu Mkuu wa Mkoa. Lakini pia bado ni kweli kuwa mihadhara ni haki ya kikatiba kwa hiyo kuzuia shughuli hiyo ni kunyonga uhuru wa wahusika...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joseph Mbilinyi (SUGU) ataka TRA wamtoze kodi RICK ROSS show ya leo...

    Ndiyo huyu Mbunge amenena, lakini nchi hii wageni huwa hawahusiki na kulipa kodi, labda kwa zile zinazoingiza ktk account zao Uswiss na kwingineko
  4. Z

    JamiiForums Tanzania CCM siyo mama yangu-Maige!!!!!

    Hapanaaa', jamaa aaca mchecheto wa kumwagwaaa'''. Umesanya za kutosha,tulia uangalie uelekeo mpya. Awe au asiwe Mama yako''.....umesomeshwa chini ya Dola la sisiem, hebu shukuru Mungu,sisi wengine japo tumekomaa na sisiem kwa miaka lukuki na hatuna hata chapaa bado tunaaminia ONE day yes
  5. Z

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mlifunika kombe WAZANZIBARI WAMELIFUNUA. Kazi kwelikweli.

    Azimo la Zanzibar ndiyo lililoanzisha Ufisadi, Mwalimu akasema "waliporudi kimya kimya toka Zanzibar wenye akili tukajua Azimio la Arusha ndiyo limevunjwa":noidea::noidea:
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

    "Dua yangu", siku ya ubaya isiwe leo na Mungu umuepushe Tundu Lisu, fitina na hiana za waliojaza myoyo yao kwa uchungu kama shubiri zikarejee na kuwa ijara yao na kizazi chao mapaka watakapojua kutenda haki.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Tugome au Tuandamane Ijumaa tarehe 28/04/2012. It's worth it..!

    "Moyo wa Ukombozi" ni fikra ya kuwafikiria wengine,ni kujitolea leo ili kesho watu wengine wanufaike. Hebu tuamke, tuwafikirie wengine wa kizazi kijacho,tusipothubutu leo basi tunachofanya ni kuwalundikia maumivu na madeni yasiyolipika kizazi kijacho. Haya shime'', zamu hii ni yetu baada ya...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Mzee wa usingizi popote

    Deposit at the site of belly is very rich,let him enjoy hizo natural heritage
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete afichuka kukandia Millya

    It's understood the boy owns legal firm,may be he's prepared to sue Millya
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

    Mpaka hapo ni bayana,huhihitaji "mnajimu" au piga bao aseme, kimenuka. PM kesha mwagwaaa
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Tra / customs kunani?????'''''''''.

    Ngoja ninywe nyingi, nikilewa nitakuwa na mengi ya kusema,si unajua wengine tumeumbwa namana fulani,mpaka ukinywa ndiyo unapanda
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Tra / customs kunani?????'''''''''.

    Ngoja ninywe nyingi, nikilewa nitakuwa na mengi ya kusema,si unajua wengine tumeumbwa namana fulani,mpaka ukinywa ndiyo unapanda
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Katiba: Prof. Baregu kuapa bila Biblia wa Quaran nini tafsiri yake?

    Amekuwa mkweli zaidi kuwa humo ndani ya kadhia hiyo hayumo Mungu,so hakuna haja ya kumhusisha
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Tra / customs kunani?????'''''''''.

    Wakati ikiwa ni bayana kuwa maafisaa wapatao (30) therathini wa Idara ya Forodha/yaani KAZI TAMU/Customs wamekabidhiwa barua za kusudio la kufutwa kazi, bila shaka inavuta zaidi kutaka kujua kuna nini kinaendeka humo nani ya KAZI TAMU???.
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Gavana ballali hajafa- source:gazeti la fahamu

    Watawala/kikundi fulani ktk nchi hii kinatufanya wananchi kama wajinga fulani ambao wanaweza kukubali kudanganywa au kuamini uongo wao,haifai.
Back
Top Bottom