Ridhiwani Kikwete afichuka kukandia Millya

utatueleza huo utajiri wa kumiliki transportation company umepata wapi,subiri ni suala la wakati tu,hayo masaburi yatakua halali yetu
 
Riz kamwambie baba yako kilaza alete pesa zetu za IPTL,Kagoda,Richmond na arudishe twiga wetu ..alafu mwambie arudishe pesa aliyohongwa kuuza ardhi kwa bei chee huko Rukwa
 
RidhiwanKikweteJr.jpg

Ridhiwani Kikwete

Who is Ridhiwani by the way ? Ajiandae kurudisha kila kitu CDM itakaposhika nchi.....! Mali zote ulizoiba kupitia jasho la watanzania! Kwanza shut your big mouth who are by the way ? Who gives you power ? Mi naelewa peoples can give you power ,so kama hujapewa power na people shut up!
 
Sijui kama huyu kijana anamfahamu bwana mmoja anaitwa Seif al Islam na nini kilimpata na kilisababishwa na nini. Kama analijua hilo anapaswa kutafakari kwa kina juu ya ushiriki wake katika mambo mengi.
 
Ni busara ya kawaida tu dogo angetulia na kuendelea na mambo yake, huo mdomo na wino vitamgharimu huko mbele, siasa mchezo mchafu.

Siasa kweli mchezo mchafu...I hope anajua madaraka ni dhamana. Leo ipo kesho anapewa mtu mwingine.
 
Huyu jamaa ana akili ndogo sana ,anafikiri baba yake atatawala milele.Angekuwa mjanja na mwenye akili angetumia muda huu kutengeneza marafiki kuliko maadui.Maadui anaopambana nao hawawezi na hatakaa aweweze kwani kwa sasa anaoona kuwa ananguvu kupitia kivuli cha baba yake
 
Sijui kama huyu kijana anamfahamu bwana mmoja anaitwa Seif al Islam na nini kilimpata na kilisababishwa na nini. Kama analijua hilo anapaswa kutafakari kwa kina juu ya ushiriki wake katika mambo mengi.

Halafu anashiriki kwenye mambo yasiyo muhusu. Huyu dogo amekuwaje sijui. Anafikiri atalindwa kama Rais mstaafu wakati yeye hajawahi kuwa Rais.
 
CCM wakitaka kulitibua kabisa wamshtaki huyu Milya. Nawambieni hakuna mwenye usafi wa kumfikisha mahakamani Milya.
 
Kajinga sana hakana maana Lake oil vp

Riz1 si ndo kajimilikisha bonde oevu la Kilombero anawindisha pale,hivyo mauaji ya wafugaji pale Maguba yamefanywa na mgambo wake.Pia vyura wa kihansi na resources nyingi sana pale Mpanga inadaiwa zipo chini yake.NATAMANI IFIKE 2015 HUYU JAMAA TUMSWEKE LUPANGO
 
Ni kawaida yao CCM kuwaandama wapinzani!Kwa hiyo ni zaidi kwa huyu ambaye kawakimbia tena wakiwa katika hali mbaya saana
 
ridhiwankikwetejr.jpg

ridhiwani kikwete


ridhiwani amshukia millya

mtoto wa rais, dk. Jakaya kikwete, ridhiwani kikwete amemshukia aliyekuwa mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (uvccm) mkoa wa arusha, james ole millya.millya alijiengua kutoka ccm na kujiunga ccm kutokana na kile alichoeleza kuwa chama tawala kimekuwa mfano wa gari lililosheni pancha, hivyo halifai kwa safari.

hata hivyo, baada ya millya kuondoka ccm, taarifa zilizopatikana mkoani humo zilieleza kwamba aliondoka akiwa na takribani shilingi milioni 2, mali ya uvccm. Taarifa hizo ndizo zimemuibua ridhiwani akichangia katika mtandao wa kijamii wa tunuru la afrika na kusema millya asubiri utaratibu unafuata. Ridhiwani aliandika maneno hayo juzi kupitia simu yake ya mkononi na kuyatuma kwenye mtandao huo akisema, “nilidhani utani, kumbe james (millya) tunamdai hela za umoja wa vijana mkoa wa arusha.”
aliongeza, “nawashukuru vijana makini wa mkoa wa arusha kwa umakini wa hali ya juu. Utaratibu waja bwana millya kama unasoma post hii.

hata hivyo ujumbe huo wa ridhiwani ulichangiwa na washiriki mbalimbali, wengi wao wakimpinga na kumhusisha (ridhiwani) na familia yake kwa tuhuma zenye nia ovu. Baadhi ya tuhuma hizo zimewahi kuchapishwa na kutangazwa kwenye vyombo vya habari, zikikariri vyanzo tofauti.


millya alitangaza kujiudhuru uwenyekiti wa uvccm mkoa wa arusha hivi karibuni na kuhamia rasmi katika chama cha demokrasia na maendeleo (chadema). Aidha, siku iliyofuata viongozi wa ccm kwa nyakati tofauti walikaririwa na vyombo vya habari wakimwelezea millya kuwa, alikuwa gamba na mzigo ndani ya chama umoja huo.

ippmedia
pumbavu huyu anatakiwa kukua kabla ya kukurupuka na media
aje atueleze zile ofisi pale juu atcl gorofa ya kwanza zinazotengeneza sare za jeshi la polisi na jwtz
amepewa kama nani ...embu watanzania kuna vitu serikali ikiondoka unaweka ndani watoto kama hawa aje atueleze nani kampa hela kusimamia mafuta ya lake oil nani kmpa pesa anapata wapiiiiiiiiiiiiii?????


Aje atueleze zile pesa za baclays zilizochomolewa billions kwa kuomba mkopo wa kampuni feki iliyopo mbagala ya kutengenezea cement na kufikia kufukuzwa watu baclays na mpaka leo wameuza hadi pikipiki zao yeye anaendeelea kula bata wenzake wakisota na kesi mahakamani...aache kuongea upuuzi nini millions za millya atueleze atazirudishaje pesa za baclaysa akishirikiana na yule mhindi ......hope akisoma anamjua aje hapa asema billions atazilipaje na kuachana na sisi vimillions
 
Back
Top Bottom