Kamati ya Katiba: Prof. Baregu kuapa bila Biblia wa Quaran nini tafsiri yake?

Baregu aliwahi kuniambia hana dini. Labda ndiyo maana hajaapa kwa Vitabu hivyo. Uteuzi wake unawakilisha wote wenye mtizamo kama wake.
 
anakuwa idiosyncratic tu.

Huyu Prof. ana element za secular humanism.Hapa nadhani atakuwa na lengo la kufanikisha upatikanaji wa katiba mpya kwa njia za kisayansi na falsafa. Ni indicator nzuri kwamba udini hauna nafasi kwenye utendaji wake.Hapa ndipo ninapo waheshimu sana wasomi kwa sababu wako well organized.
 
Mkuu Nyakageni, sio dini! bali ni baadhi ya waongozaji wa hizo dini ndio sumu na wezi watupu
Dini ni nzuri sana mkuu hasa kama viongozi watajikita kwenye misingi ya dini zao, tatizo kubwa lililopo sasa hivi ni baadhi ya viongozi kubadilisha dini kuwa kama NGO's na sehemu ya kujipatia riziki, na ndio maana unaona maadili yanapotea kwa kasi kubwa mno maana hata sisi waumini tumewashtukia kwa kuwa wanayoyafanya sio siri tena.
Sio kweli hata kidogo! machafuko na vita nyingi duniani vimesababishwa na dini. Watanzania sasa hivi wameanza kuchukiana na kutoaminiana kwa sababu ya misingi ya dini. Dini ni bange mbaya sana!
 
Baregu aliwahi kuniambia hana dini. Labda ndiyo maana hajaapa kwa Vitabu hivyo. Uteuzi wake unawakilisha wote wenye mtizamo kama wake.

Kila binadamu anadini yake, hata Baregu ana dini yake ambayo haina uhusiano na biblia au Quraan
 
Hii injatoa ujumbe kuwa kwenye katiba, maswala ya dini yabaki pembeni! Serikali haina dini. Wajumbe kama hawa tunawahitaji sana kwenye zoezi hili!
 
Taratiiibu tunaelekea. Sasa kama mtu si Mkristo/Muislam na hana imani ya dini utamlazimisha?

Hili mbona hata mchongameno alishasema siku tukipata rais mteule asiye na dini tutamuapisha tu bila biblia wala Quran (wakati akipinga udini katika siasa na kuonyesha ukomavu wa mawazo kwamba Tanzania hatujali mtazamo wa kidini wa kiongozi).
 
Mkuu Nyakageni, sio dini! bali ni baadhi ya waongozaji wa hizo dini ndio sumu na wezi watupu
Dini ni nzuri sana mkuu hasa kama viongozi watajikita kwenye misingi ya dini zao, tatizo kubwa lililopo sasa hivi ni baadhi ya viongozi kubadilisha dini kuwa kama NGO's na sehemu ya kujipatia riziki, na ndio maana unaona maadili yanapotea kwa kasi kubwa mno maana hata sisi waumini tumewashtukia kwa kuwa wanayoyafanya sio siri tena.




Function ya dini ikichukuliwa kama social gathering haina tatizo. Tatizo la dini ni kwamba milele yote imekuwa inalazimishwa kuwa "a spiritual thing" kinafiki, wakati ukweli ni kwamba dini "is a social thing." Nothing else!

Zipo sababu nyingi za kisaikolojia kuhimiza wanadamu kufanya "socialization." Na kwa mantiki hii mimi nakubali na kuhimiza ndugu, marafiki na wapenzi kwenda Masjid au Kanisani. Ni sehemu nzuri ku-make friends, kuona mitindo mipya ya bargashia, kanzu, suti na mavazi mengine; ni sehemu nzuri kuona mitindo mipya ya magauni, nywele na staili mpya za kuongea na kucheka. beyond that church na masjid turns into an enclave of liars na unafiki kibao! bwana yesu asifiwe--halaf jioni yupo kwenye viroba na soda kama siyo gesti. mwingine sigda imeota sugu kabisa kwenye paji la uso lakini tapeli wa kuogopwa kama ukoma. the best dini on earth is truth and justice.

Ukweli na Haki ndiyo dini ya kweli duniani. nothing else!
 
Kama viapo vya kutumia Quran au Biblia vingeheshimika leo Tanzania ingekuwa mbali kimaendeleo.
Wengi viapo kwa vitabu vya mungu ni unafiki, anashika kitabu cha mungu nyumba ya Ibada hakumbuki mwisho ilikuwa lini na wengne wakiwa na waganga mia kidogo
 
Function ya dini ikichukuliwa kama social gathering haina tatizo. Tatizo la dini ni kwamba milele yote imekuwa inalazimishwa kuwa "a spiritual thing" kinafiki, wakati ukweli ni kwamba dini "is a social thing." Nothing else!

Zipo sababu nyingi za kisaikolojia kuhimiza wanadamu kufanya "socialization." Na kwa mantini hii mimi nakubali na kuhimiza ndugu, marafiki na wapenzi kwenda Masjid au Kanisani. Ni sehemu nzuri ku-make friends, kuona mitindo mipya ya bargashia, kanzu, suti na mavazi mengine; ni sehemu nzuri kuona mitindo mipya ya magauni, nywele na staili mpya za kuongea na kucheka. beyond that church na masjid turns into an enclave of liars na unafiki kibao! bwana yesu asifiwe--halaf jioni yupo kwenye viroba na soda kama siyo gesti. mwingine sigda imeota sugu kabisa kwenye paji la uso lakini tapeli wa kuogopwa kama ukoma. the best dini on earth is truth and justice.

Ukweli na Haki ndiyo dini ya kweli duniani. nothing else!

Kuna waholanzi fulani hawaamini katika kuwako kwa mungu lakini wanapenda utamaduni wa kikristo ambao ndio wa jamii yao, kwa hiyo wamekubaliana kuwa na kanisa la wasioamini mungu, wanashiriki kusikiliza mistari ya biblia kama watu wengine wanavyoweza kuangalia michezo ya Shakespeare, wanapenda architecture za makanisa, kwaya urafiki etc, lakini wanafanya yote hayo socially tu huku wakiamini kwamba mungu kama anavyoelezewa katika ukristo hayupo.
 
Tafsiri yake ni kwamba wale wote waliokariri kuwa CDM ni chama cha "wakatoliki" waongeze kundi jingine!
 
sawa kabisa alivyofanya'wanaotumia biblia na quran ndio wezi wakubwa nchi hii
 
anakuwa idiosyncratic tu.

Kama kuwa kwake quirk ni kwa minajili ya kutetea haki za watanzania mimi sioni ubaya.
Ila najua sio mpenda sifa za ovyo na anasimamia anachokiamini.Lets give him the benefit of the doubt.
 
Uwepo wake katika tume hii ni muhimu sana kwa watanzania. Huongea anachomaanisha, na humaanisha anachoongea!
 
he is very honest to whatever he is going to do. binafsi sioni sababu ya kutumia quran au bible wakati kuna wahindu, wote wakiwa wapagani wabudha ambao wanahitaji kuwakilishwa sasa wote wakiwa waislam na wakristo itakuwaje?
 
Back
Top Bottom