Recent content by zamwamwa

  1. Z

    NAPE: Tutashinda Arumeru, Chadema wameishiwa

    Kisururu, Yule basha ako kaniuliza jana toka akushughulikie juzi hajakuona! Ndo maana akili imekaa ki kameruni tu, lohl!
  2. Z

    mhhh! BAADA YA CUF ,SASA CHADEMA

    Wakuu, Ndo tabu ya kujenga demokrasia kwenye nchi masikini kama Tanzania, sio kazi rahisi hasa mafanikio yakishaanza kuonekana au kupata mafanikio kidogo sana, taasisi zinazoijenga demokrasia hasa vyama vya siasa husambaratika. Vikipona kusambaratika huushia kwenye migogoro isiyokuwa na kichwa...
  3. Z

    Picha;CUF ndani ya Bunda mji wazizima,Wasira presha juu

    Karibu kamanda Mtatiro! Kumbe na hii nayo ID yako, nimefurahi kulijua hilo,karibu sana sana
  4. Z

    SI LAZIMA ALIYEONGOZA KURA ZA MAONI AKARUDISHWA; Nape.....!!!!!!!!!!!!!!!

    Nimemsikia Nape akisema kupitia TBC1 kuwa ETI si lazima aliyeshinda kura za maoni Arumeru Mashariki kupitia Chama Cha Magamba(CCM) akateuliwa na vikao vya CCM kuwa mgombea wa Chama hicho katika uchaguzi mdogo ujao!! Hii imenistua kwanini Nape aseme hili kwa Arumeru na hakusema kwa Igunga...
  5. Z

    Rais Kikwete: Anayesema kujivua gamba kwa ovyo yeye ndio wa ovyo

    23.1K 92.3K 0digg RAIS Jakaya Kikwete, amekiri wazi kuwepo kwa vuguvugu la upinzani lenye nguvu kubwa hapa nchini, na kuonya kwamba, iwapo Chama cha Mapinduzi (CCM), hakitajirekebisha katika mienendo yake inayoonekana kuwaudhi wananchi, chama hicho kipo hatarini kupoteza hatamu ya...
  6. Z

    Hii speed ya Nape vipi waungwana?

    Blayi, Fanya utafiti mwanasiasa kijana anayejadiliwa sana kwa sasa'"..........
  7. Z

    Hii speed ya Nape vipi waungwana?

    Blayi wa Mpwapwa, Unatia kichefuchefu sasa kwa hoja zako. Hivi nani zumbukuku kati yangu na wewe? Hivi Chama kinachokufa kilitufanya nini Igunga?? Kimetufanya nini Uzini? Sisi tumepeleka wakubwa wote, mkiti,katibu na kadhalika wao wamewaachia vijana tu matokeo CCM 5680, sisi CDM 218!!!!!! Shame...
  8. Z

    Hii speed ya Nape vipi waungwana?

    T 2015 CCM, Aaah hadi wewe wanikejeli ama kweli nyani bwana..... Hivi vuvuzela baada ya kuburudisha anafaida gani? Nilichouluza kimetokea nini mbona kaachwa kunyukwa kila siku kama zamani? Au kachanyamazishwa??? Wabunge walishindwa nini kumtoa wakati walimpania kwa kuingilia posho zao????
  9. Z

    Hii speed ya Nape vipi waungwana?

    Hivi huyu vuvuzela wa CCM hii kasi yake inakwenda wapi? Kaacha kutukanwa sasa kwa sehemu kubwa, anaandikwa na kuripotiwa vizuri na media kwasasa ukilinganisha na mwanzo! Haya yanatokea yenyewe au yanatengenezwa? Na kama yanatengenezwa na nani? Maana naamini Nape hana akili hiyooo! Nadhani iko...
  10. Z

    Bungeni: Muswada wa Katiba Unajadiliwa!

    Tundu Lisu na Chadema wamfagilia kikwete bungeni, utadhani si hawa waliotoka nje wakidai hawamtambui... Hata hivyo ni ukomavu kisiasa, kumtambua Rais na nia yake njema ya kutaka nchi yetu ipate katiba nzuri kwa masilahi ya watanzania wote! Bravo Lisu, bravo Chadema kwa kuamua kula matapishi...
  11. Z

    Mgogoro Waibuka Ofisi za Chadema-Mwanza

    ...nimekuja ofisi za cdm hapa nakuta ndo anaingia meya wa jiji la Mwanza huku analalamika..." niliwaambia hatutawaweza hawa safari hii wanasaidiwa na mashushushu wa serikali mkanibishia sasa oneni hii aibu y a mwaka, yaya gete"
  12. Z

    Mgogoro Waibuka Ofisi za Chadema-Mwanza

    Kwa hili chama changu CDM tumeaibisha sana, nimekuja hapa mabatini kwa machinga nao wamenuna kwanini tuliendea vijana Tarime huu ujinga nani alitushauri?!!!! Shame on us!
  13. Z

    Nape awapasha wana taaluma Mlimani City

    Mbona mamaako aliyekukataa alikuwepo pia nawe hujamtaja au coz babaako alikutupa jalalani???? Ndo maana akili iko hivyoooo
  14. Z

    Nape awapasha wana taaluma Mlimani City

    Wasiwasi wangu wengine mkijibiwa tutakula ban... Hivi ulishaacha ule mkorogo wa mikononi? na ile cheni ya kiunoni je?
Back
Top Bottom