NAPE: Tutashinda Arumeru, Chadema wameishiwa

Ya Arumeru kuzungumziwa Dodoma inadhihirisha CCM imeanza kuhaha.
Nape you are running away like headless chicken.
Kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
 
siku zote huwa nasema.. kama unafikiria kwa kina mustakabali wa nchi hii ilipotoka, ilipo na inapokwenda, na ukajiuliza matatizo yanayotukabili na nini chanzo chake.. kwa kweli unaweza kuamua kuingia mstuni, wakina NEPI na wezi wengine waliopo ccm wanaona kuwa nchi hii ni yao.. nawanauwezo wakusema au kufanya loote milele yote.. hawa wapuuzi wanafanya ziara za kishenzi wanaiba rasili mali zetu, wanaua ndugu zetu kwa sumu na risasi za moto na wanapola ardhi zetu, kwao furaha ni kuona watanzania wanazidi kuwa maskini. Huwa kumbuka kinafiki tu wakati wa kampeni, wamefanya nini cha maana miaka 50 ya uhuru.. tunarasili mali gani tena sisi kama wazawa.. wameuza kila kitu.... shen..i kabisa hawa Ipo iku tutawafunga na kuwanyonga wote waliotufikisha hapa.. ili wajue nchi hii ni ya watanzania wote na si kikundi cha wezi na wauaji fulani.. halafu wanapita huko nahuko wanatoa maneno ya kashifa ya kuwa pumbaza watanzania wenye njaa bila huruma..uchaguzi haujafanyika tayari unatoa maneno kama hayo.. najua mnajeshi na dola yote inawasapoti but mkae mkijua watz ni zaidi ya hizo risasi na mabomu na askari wenu..NAPE NA WENZIO...SIKU ZENU ZIKO UKINGONI TU NA MTAIKIMBIA NCHI HII.


Ya Arumeru kuzungumziwa Dodoma inadhihirisha CCM imeanza kuhaha.
Nape you are running away like headless chicken.
Kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
 
Naye Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Anne Kilango-Malecela ambaye pia ni Mbunge wa Same Mashariki, aliwataka Wana- Chang’ombe kumchagua mgombea wa CCM ili waweze kutafuta amani ya kudumu.

“Kinamama wa Kata hii mzunguke nyumba kwa nyumba kutafuta kura za CCM ili mtafute amani ya kudumu kwani amani ikipotea waathirika huwa kina mama kama ilivyokuwa kwenye mgomo wa madaktari walioathirika zaidi ni kinamama,” alisema katika uzinduzi huo uliohudhuriwa karibu na viongozi wa CCM wa ngazi zote kutoka mkoani Dodoma.


Source: HabariLeo | Nnauye-Tutashinda Arumeru, Chadema wameishiwa

Mama kilango! Walioathirika ni kinamama kama unavyosema, lakini sababu kubwa ni kwa watanzania kuichagua (?) CCM ambayo IMESHINDWA KUWAPA HUDUMA BORA MAHOSPITALINI!. Na hii ni mojawapo ya sababu zilizopelekea madaktari kugoma.
Uwe makini kuongelea suala hili kwani watanzania wasio na hatia wamepoteza maisha yao kwa uzembe wa watu ambao serikali ya CCM imeshindwa kuwawajibisha!!
JIFUNZE KUHESHIMU MAISHA YA WATANZANIA HATA KAMA UMEWAPANDA MGONGONI KAMA FARASI!
 
Kisururu,
Yule basha ako kaniuliza jana toka akushughulikie juzi hajakuona! Ndo maana akili imekaa ki kameruni tu, lohl!
 
Kwa namna hii kama CCM hatutakuwa makini itafikia kipindi kila ukupanda jukwaani wananchi watakuwa wanazomea. Coz katika hali ya kawaida haya siyo maneno yakujigamba kwenye kampeni. Kwani sera zemeisha!? Nimeona hata Wasira anapenda sana siasa za namna hii!! 2015 tukienda hivi tutaishia kuzomewa tu!
 
Back
Top Bottom