Recent content by zamani1116

  1. zamani1116

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Mirathi ya Kiislamu kwa mtoto wa nje ya ndoa ibadilishwe

    unaweza kunipa andiko toka kwenye Quran tukufu ikithibitisha hili moja kwa moja!?
  2. zamani1116

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Mtoto wa nje hapaswi Kurithi Mali za Baba yake?

    Kuna sehemu busara zinahitajika sana kwenye haya mambo,nimeshaona mtoto wa nje ya ndoa ndio msaada mkubwa kwa mzee wake lakini akifa huyu mzee bado hastahili kupata haki sawa na wenzake??
  3. zamani1116

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi juu ya haki ya mjukuu kurithi mali ya babu/bibi yake

    Habari wana jamii,kuna jambo naomba muongozo kidogo wa kisheria kwa mwenye ufahamu nalo.Tuna mali tumerithi toka kwa baba yetu na tuko watatu lakini kwa bahati mbaya mwenzetu mmoja amefariki na kuacha watoto wawili ambao ni wakubwa (above 18). Baada ya msiba tulikaa kama familia na sehemu ya...
  4. zamani1116

    JamiiForums Tanzania Hawa sokwe/nyani wa siku vipi? Mbona hawabadiliki kuwa watu?

    Demons vs Angels...nawaangalia tu
  5. zamani1116

    JamiiForums Tanzania Mwanangu Anasumbuliwa na insomnia

    Shukran
  6. zamani1116

    JamiiForums Tanzania Mwanangu Anasumbuliwa na insomnia

    Nina binti wa mwezi mmoja ratiba yake ya kulala ilikuwa nzuri tu na ya kawaida kama watoto wengine lakini cha kushangaza jana usiku hakulala kwa masaa kama sita yaani aliamka kama SAA tatu ya usiku mpaka saa tisa ya usiku ndio akaanza kusinzia ,mchana alilala vizuri tu na kingine...
  7. zamani1116

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My playlist

    I never gonna dance again aliyeimba nimemsahau
  8. zamani1116

    JamiiForums Tanzania Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    Uislamu hauko hivi...usiwe unaongea maneno ya kusikia vijiweni fuatilia ukweli ,ukweli utakufanya uwe na mawazo chanya....
  9. zamani1116

    JamiiForums Tanzania Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    Hufahamu kitu kwa sababu hayajakukuta,kitanda usicholalia huwezi jua kunguni wake!!
  10. zamani1116

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kusogeza naye siku

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  11. zamani1116

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unatazama Movie Gani

    Hii weka mbali na watt,inaanza kizembe sana mpaka yule binti anapotoroka na kuomba msaada wa hifadhi halfu muhuni anakauja kukataa mapesa kibaao ili awaachie ...aah ni ushanta mtupu
  12. zamani1116

    JamiiForums Tanzania Tafakari kisha toa jibu

    Nimemuona bibi na babu,nimeona jamaa na demu na pia nimeiona njia ya uzazi ya mwanamke
  13. zamani1116

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kimawazo: Nijenge au ninunue gari

    Nakushauri ndugu yangu tafuta gari used aidha vits,starlet,ist,Carina ambazo hazitumii mafuta sana na utapata kwa bei nzuri kama m5 mpaka m8,itakayobaki anza ujenzi hata wa vyumba viwili kwanza ili usave mambo ya kodi na pia una kwako hata kama chumba kimoja lakini ni kwako!!ahsante
  14. zamani1116

    JamiiForums Tanzania Gazeti la An-nuur lamuadhimisha Kleist Abdulwahid Sykes (1950 - 2017)

    Dini imeingiaje tena hapa!??....hebu tubaki na moja tu la historia ya wazee wetu!udini hauna nafasi hapa
  15. zamani1116

    JamiiForums Tanzania Uvutaji wa Bangi una madhara gani kiafya(kitaalamu) !?

    Doh... Sawa mkuu
Back
Top Bottom