Watching COCO
View attachment 643632
pole mkuu
nliangalizia Theatre ...Naomba Link ya Clean Version Mkuu.
Hi security bi ya mwaka huu?? Simjui actor ila nimeona ana mission ya kum protect binti mdogo ivi, sijui ndio hiosawa mkuu, jamaa anazeeka vizuri. ukimaliza hiyo mtafute kwenye nyingine inaitwa security.
Hapo sawa Mkuunliangalizia Theatre ...
Hii kitu nimeicheki jus kati aisee
Umemikumbusha ubishi wetu kipindi tunaitizama hii movie kuhusu uhalisia wa scene za ngono...Jada analiwa na muuza TV kama kweli.Naangalia kitu kimoja cha zamani kinaitwa JASON'S LYRIC, huwa sichoki kuiangalia hii kitu!
Mkuu inaonekana unaikubalia sana hiyo movie.No Escape
Yap Mkuu sikutaka kuboreka kabisaand the collection was perfect too
Hii weka mbali na watt,inaanza kizembe sana mpaka yule binti anapotoroka na kuomba msaada wa hifadhi halfu muhuni anakauja kukataa mapesa kibaao ili awaachie ...aah ni ushanta mtupusawa mkuu, jamaa anazeeka vizuri. ukimaliza hiyo mtafute kwenye nyingine inaitwa security.