Recent content by zaklove

  1. Z

    printer,photocopy and scanner all in one lexmark x5435dn

    Nina all in one lexmark x543dn boxed iko mwanza na kyocera printer na acer laptop na digital camera tatu boxed za kuuza kama mtu anazitaka ani pm nimuelekeze sehemu ya kwenda kuziona
  2. Z

    natafuta photocopy machine

    ipo lexmark ambayo ni photocopy , printer na scanner pia kuna kyocera ila anasema kuna mtu ameshaweka order hajatoa hela akishindwa kulipa atanijulisha
  3. Z

    natafuta photocopy machine

    mwisho wa baajeti yako ni ngapi nikunganishe na mtu anazo kubwa
  4. Z

    suzuki grand vitara 2004

    imetembea elfu tisini na tisa
  5. Z

    suzuki grand vitara 2004

    suzuki grand vitara ya mwaka 2004 ya metalic silver kutoka uingereza (uk).iko kwenye good condition. 5 doors , manual estate diesel, sunroof,alloy wheels,ABS,air conditioning,front armrest,folding rear seats ,immobiliser,passenger airbag,rear armrest,,roof rails, radio/cd, rear head rest, height...
  6. Z

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Why Gadhafi must die! - YouTube
  7. Z

    Najuta kulipandia........

    hahahhah siku nyingine mkuu pima oil kwanza
  8. Z

    Dark Girls - Mbona tunajidharau?

    nilishawahi kuwa na demu kutoka west africa yeye aliambiwa na mama yake atoke na wazungu tu mi alinikubali kwa sababu light kidogo kila siku mama yake alikuwa anamweleza aachane na mimi african atafute mzungu nikamtukana mama yake kuwa inaonekana alikuwa anatamani kubanduliwa na wazungu ikawa...
  9. Z

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    nimepoteza sauti na kufungwa tumefungwa hii ni noma
  10. Z

    Ni mimi tu auu??

    <br />huyo dogo atakuwa kapinda. Ulaya life ni ngumu vile vile tena huku stress ni kitu cha kawaida watu wanaongea peke yao barabarani. Cha muhimu ni ajiweke busy ,atafute watu wa kuongea nao .afanye mazoezi ajaribu kujichanganya na watu stress itapungua na aweke ibada mbele. <br />
  11. Z

    Osama bin Laden killed!

    wamarekani na vibaraka wake ndio magaidi wa kwanza duniani wao ndio humtengeneza m2 au kikundi na pale utakapo simama na kuukataa ukatili au maslahi yao wanakugeuzia
  12. Z

    Osama bin Laden killed!

    tizama sky news jamaa wanaendeleza usanii wao kuwa kuna pic mbili zilichukuliwa na hellicopter moja wakati anazikwa lakini hazioneshi sura na kuwa nyingine amefumuliwa kichwa na hana macho . Zote usanii
  13. Z

    NIMESALITIWA nisaidieni

    oyaa mkuu move on na lyf ,komaa na kazi huyo kafata mshiko ukiisha atajileta mwenyewe kwa misamaha kibao ,ukikutana nae kona una shika mkono.
  14. Z

    I love you!!

    i love uuuuuuuuuuuuuuuu lol.
Back
Top Bottom