Dark Girls - Mbona tunajidharau?

inabidi tuanze kampeni nzito ya black is beutiful! Kwanzia kwa watoto wetu. Kuwafundisha nyimbo, kutengeneza cartoons za watoto weusi, kuweka superheros weusi na kufundisha kuhusu watu weusi wanaoleta mabadiliko. Kwa mfano Obama, Koffi Annan, Desmond Tutu, Nelson Mandela, nk!
 
<br />
<br />
Hapo ndo umemwaga mapointi ya kufa mtu good boy
 
Napenda ngozi yangu na pia napenda mwanaume ambae ni xtra dark, sijawahi kujiangalia nikajichukia sijui hao watu wanaojichukia sababu ya ngozi wanawaza nini
 
low self esteem na iferior complex na wazungu na waarabu...
hata kama kuna mambo hayapendi kama kutoa tigo n.k
akiwa na mzungu sheria zote zinavunjwa
anakubali kila kitu too sad...

The Boss, hapo kwenye red umepatia vizuri sana ambayo ni "INNACCURATE assessment of the self" , huu ni ugonjwa unaotibika kwa kubadilisha fikra tu!
 
Kaka Mpendwa:

The problem and the one to blame here is ourself as
We are not committed and focused to the good future in a way that one day British can come up and appreciate we have something they need learn from us in spite of nothing as they hate as some of us did.
The African man mind is limited by the scope of appearance",i know it's hard to accept but that is the truth. To fight it we need to show up and to deliver the good things we have to ourselves and to others and not to force them believe we are good.Always the value have a value wen its value is valued.
 
Mpaka tufikie huko mwisho wa dunia ushafika kama upo
 
nilishawahi kuwa na demu kutoka west africa yeye aliambiwa na mama yake atoke na wazungu tu mi alinikubali kwa sababu light kidogo kila siku mama yake alikuwa anamweleza aachane na mimi african atafute mzungu nikamtukana mama yake kuwa inaonekana alikuwa anatamani kubanduliwa na wazungu ikawa ndio break up
 
kwa nini hichi kitu kinasumbua wanawake zaidi ya wanaume?
Weird_couple.jpg

It is pity! We are real brain washed, believing beaty lies in another race, the Europens!

But even among our African men, they are not proud of us, they are forcing us to go to MIKOROGO and the like. It is pity that some of the European men likes us than you black African Men!

Look at what is called African face, (take example of a Tanzanian lady who was in BBA). How many of you can approach such a woman????

Just thinking aloud
 
African face ndio ipi hasa?
 
Watu tunaingia kwenye mapenzi kwa sababu mbalimbali,
Kwa wanawake mara nyingi ni security
security in
- socially
- financialy
- mentaly
ect

kwa bahati mbaya hakuna mwanaume anayeweza kumridhisha mwanamke 100% kwa muda mrefu kwa hayo yote.
na mengine mengi tuuuuuu.
Ushauri ni kuwa pamoja nakuwa wadada tunahitaji sana security na comfort kutoka kwa hawa jamaa zetu, mara nyingi tukiendekeza sana tunakatishwa tamaa, kwani siku hizi vijana hawajengwi kivile, nao eti wantaka hayo hayo kwetu!!! imagine!!!
Ni bora ujisimamie mwenyewe, na yeye awe wa kukupa social security, hii ni including Wzungu na wasio wazungu, kama anavigezo ndio vyako, huyo ndio wako!!!
 
sasa si nyie wenyewe mmedai usawa? Kama wewe unaweza kuwa rais kama mimi, kweli unategemea kupata financial, social na mental security gani kutoka kwangu? Ndio maana katika nchi zilizoendelea divorce rates ni kubwa mno! Maana wanawake wanaweza kujitunza wenyewe! kwa hiyo inabaki tu kitu kimoja wanachohitaji...
 
Back
Top Bottom