suzuki grand vitara 2004 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

suzuki grand vitara 2004

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by zaklove, Dec 22, 2011.

 1. z

  zaklove Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  suzuki grand vitara ya mwaka 2004 ya metalic silver kutoka uingereza (uk).iko kwenye good condition. 5 doors , manual estate diesel, sunroof,alloy wheels,ABS,air conditioning,front armrest,folding rear seats ,immobiliser,passenger airbag,rear armrest,,roof rails, radio/cd, rear head rest, height adjustable drivers seat, rear electric windows, rear wiper, trip computer , ,electric door mirror ,
   

  Attached Files:

 2. N

  Ndele Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  unaenda kwa ngapi?
   
 3. m

  maswitule JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,385
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Sema bei tukulipe kabla ya sikukuu si unajua tena zikishapita tutaishiwa weka pia contact zako
   
 4. DullyM

  DullyM Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mimi hizi biashara zetu za kibongo huwa zinanishinda kitu kimoja tu!! kama mtu anauza kitu anaeza asieke bei ili watu wengi warukie kuitaka, lakinii sasa kama contact information hamna hivi inakuaje!!?? au hii ni new trend kwenye biashara?? nitoeni ujinga wanane!!
   
 5. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Huanndiki bei wala lolote sasa unataka kusemaje?!! unaoshesha na wewe una Suzuki ama?!! manake hujasema lolote zaidi ya good condition na bla bla zingne kibao...haya tumeona una suzuki sasa tukupe zawadi....
   
 6. z

  zaklove Member

  #6
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bei ni 18m
   
 7. Mtumishi Mkuu

  Mtumishi Mkuu JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Imetembea km ngapi?
   
 8. z

  zaklove Member

  #8
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  imetembea elfu tisini na tisa
   
Loading...