Recent content by zaka

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Mh. Kangi hii style ya kukusanya mapato sio kabisa

    Yap, far port
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Nahitaji watoto wa nguruwe

    Michelin 0767502540
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Niunganisheni tafadhali 0767502540
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge hujui kutangaza mpira

    Kweli?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Meli ya MV Skagit yazama

    Abiria watu wazima 250, na watoto 31, mungu saidia.....
  6. Z

    JamiiForums Tanzania mtoto wangu alipata shida wakati wa kuzaliwa

    Thanks...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

    James mbatia ni ccm damu, hamjui hilo?
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Mawaziri watakiwa kurudi Dar na Kurejesha magari Wizarani

    Hivi Jk na chama chake hawajala hizi pesa za mafisadi? kwani ccm inajiendeshaje, c kupitia huo ufisadi tu jamani? ukiteuliwa lazima uipelekee ccm fadhila huo ndio mkataba...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Mawaziri watakiwa kurudi Dar na Kurejesha magari Wizarani

    Hivi kama unamiliki vijisenti vya bilions na unaishi Dar hata ukiambiwa usitoke nje ya iko wapi tabu? Ingekuwa dom sawa, lakini jiji la maraha.....
  10. Z

    JamiiForums Tanzania mtoto aliepata mshtuko

    mwanangu alizaliwa kwa kuchelewa kabla ya mama kufanyiwa operetion na baadae aliishiwa nguvu kiasi cha kulishwa kwa kumkamulia maziwa ya mama. maendeleo yake kwa sasa, miaka2 inaonekana ni slow sana kimawasiliano, na hana balance hajatembea bado, ila anapenda sana kucheza kwa kurusha miguu na...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania mtoto wangu alipata shida wakati wa kuzaliwa

    sikumbuki vizuri, ni kama sikosei ni 4kg hivi ulikuwa mzuri tu...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania mtoto wangu alipata shida wakati wa kuzaliwa

    mwanangu alizaliwa kwa kuchelewa kabla ya mama kufanyiwa operetion na baadae aliishiwa nguvu kiasi cha kulishwa kwa kumkamulia maziwa ya mama. maendeleo yake kwa sasa, miaka2 inaonekana ni slow sana kimawasiliano, na hana balance hajatembea bado, ila anapenda sana kucheza kwa kurusha miguu na...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaishukia Ikulu...!

    jamani hizo pessa ni kwa ajili ya hongo za uchaguzi 2015, jk anazijua vyema kwanini awawajibishe?
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Ezekekiel Maige: Tumtendee haki, wizara anayosimamia ni kubwa sana

    mtoa mada hajui kwamba bado kuna maovu mengi ya maige ambayo hayajatolewa hewani.... kuna mengi tu.. habari ya ujangili wa tembo bado haijazungumziwa, watumishi kuhamishwa mara nyingi kama dili mfano bwana rwelamila, ngowi, madanya..... huyo rwela katoka mpanda hadi mwanza, ndani ya miezi...
Back
Top Bottom