Mh. Kangi hii style ya kukusanya mapato sio kabisa

then wanajitapa wana promote biashara, shame on them

Mkuu umesahau kuwa kuna magari yalipata kuandikwa hapa kuwa yana registration number conflict/duplication (namba za gari moja zimejirudia kwenye gari nyingine)
 
mkuu unaweza kuni link na hiyo thread!?
 
Gari ulinunua brand new?
Habari wakuu,
Leo nimekutana na site hii www.tms.tpf.go.tz/ ambapo mtu anatakiwa kujaza detail either licence number au plate number ya gari kucheki kama anadaiwa kutokana na makosa mbalimbali ya barabarani. Cha ajabu gari nimepaki home na ufunguo nimefungia ndani na mimi huo muda sikua home ila nimekuta nadaiwa 60,000 kwamba gari yangu ina tairi mbovu, sehemu wanapotaja kwamba gari ilikamatwa ndio napasikia kwa mara ya kwanza, leseni ya mtu aliyeshikwa na gari sio yangu na mimi huwa sina kawaida ya kuazimisha gari. Hii sio sawa kabisa.View attachment 878392
 
Mkuu, wewe lipa tu. Kama sio wewe kuna mtu kakuingiza mkenge.
Mimi nilibisha nikaja kuta kumbe mdogo wangu alichukua ndinga nae akampa rafiki yake, wakakamatwa ila hawakuniambia, nikalipa huku nawatukana matusi mazito polisi. Baada ya kumbana dogo baadae ndio akafunguka.
mkuu sometimes hutokea human error katika uandishi wa hizi risiti eitheir anaweza akakosea kuandika herufi au number moja then matokeo yake yakauwa haaya.
 
kwani ulikuwa haujui maana ya kuzisoma namba"...
 
mkuu unaweza kuni link na hiyo thread!?

Sikumbuki ila subiri wapo wadau humu wanakumbukumbu hatari watakupa tu tena nakumbuka siku hiyo waliweka picha za hayo magari
 
Habari wakuu,
Leo nimekutana na site hii www.tms.tpf.go.tz/ ambapo mtu anatakiwa kujaza detail either licence number au plate number ya gari kucheki kama anadaiwa kutokana na makosa mbalimbali ya barabarani. Cha ajabu gari nimepaki home na ufunguo nimefungia ndani na mimi huo muda sikua home ila nimekuta nadaiwa 60,000 kwamba gari yangu ina tairi mbovu, sehemu wanapotaja kwamba gari ilikamatwa ndio napasikia kwa mara ya kwanza, leseni ya mtu aliyeshikwa na gari sio yangu na mimi huwa sina kawaida ya kuazimisha gari. Hii sio sawa kabisa.View attachment 878392

Huu ni mfumo mpya na nina imani una changamoto zake nyingi tu kwani masuala ya kujaza taarifa kwenye system hasa kwa wafanyakazi wa serikali ni changamoto. Unaweza kuta anaingiza hizo info ni typist tu na in case akikosea namba moja tu, system inaishia kuingiza taarifa sio sahihi.

Tutafika tu mdogo mdogo ila mambo kama haya yanabidi kufanywa kwa weledi wa hali ya juu ili haki itendeke
 
Hapa solution ni sanduku la kura 2020 over, kwani hizo kesi unazosikia watu wanashitakiwa wanakosa?
 
Wakabizi gari, kisha tafuta mteja kwa sharti la kulipa fine kisha malipo yafanyikie polisi.
Ukishaliuza waambie hawatokuona tena kwa upumbafu wao, kisha toa tip kuwaonyesha upumbafu wao.
Nina katibu wangu anasemaga ova.
 
Inavyoonekana kila mtanzania anaemiliki Gari au leseni tuu bila kumiliki Gari au chombo cha moto *Anadeni* la kulipa
 
Habari wakuu,
Leo nimekutana na site hii www.tms.tpf.go.tz/ ambapo mtu anatakiwa kujaza detail either licence number au plate number ya gari kucheki kama anadaiwa kutokana na makosa mbalimbali ya barabarani. Cha ajabu gari nimepaki home na ufunguo nimefungia ndani na mimi huo muda sikua home ila nimekuta nadaiwa 60,000 kwamba gari yangu ina tairi mbovu, sehemu wanapotaja kwamba gari ilikamatwa ndio napasikia kwa mara ya kwanza, leseni ya mtu aliyeshikwa na gari sio yangu na mimi huwa sina kawaida ya kuazimisha gari. Hii sio sawa kabisa.View attachment 878392
mkuu mbona mi nafungua hiyo site inagoma as if haipo
 
Back
Top Bottom