mtoto aliepata mshtuko

zaka

Member
Mar 8, 2012
30
3
mwanangu alizaliwa kwa kuchelewa kabla ya mama kufanyiwa operetion
na baadae aliishiwa nguvu kiasi cha kulishwa kwa kumkamulia maziwa ya mama.

maendeleo yake kwa sasa, miaka2 inaonekana ni slow sana kimawasiliano, na hana balance
hajatembea bado, ila anapenda sana kucheza kwa kurusha miguu na mikono,

inasemekana alipata mshtuko kiasi kwamba anashindwa kutumia ubongo katika baadhi ya mambo.
kwa mfano uko mnyanyua na kumsimamisha hupenda kukunya miguu hivyo hajisupport...

je, kweli anaweza kutembea vizuri na maendeleo mengine baadae?
kwa sasa nampeleka muhimbili kwa ajili ya mazoezi kila wiki,
msaada tafadhali.....
 
OOh Jamani mie sio Dr ila naomba mungu amsaidie
Najua kuna mmoja alikuwa anafanyishwa mazoezi ya viungo kuna namna ma Dr wanaadvice
Ingawa ilichukua muda mrefu sana mpaka alipopata hali yake ya kawaida
Jaribu kuwaona wataalam zaidi unaweza pata msaada
 
Back
Top Bottom