Nini kazi ya makamu wa rais? Tungeanza kumbana yeye pia.Hii ina maana rais kama hayupo nchini basi hata kwa simu hawasiliani na waziri wake mkuu kujua kinachoendelea nchini? au ana wapambe wengine akina ngeleja wanaompa habari zote huku akimu ignore waziri mkuu!!
Tatizo lenu mnakurupuka!!
JK kutuletea mawaziri wazembe ni kosa ambalo yeye inatakiwa awajibishwe. Lakini siyo kila kinachozungumzwa leo basi rais anapewa taarifa. Rais hapewi taarifa kwa kunong'onezana, bali kwa ripoti ya maandishi, na akipata hiyo ripoti ya kikao ndipo huzungumza na waziri. Kabla ya hapo, ni maneno tu ambayo gazeti la CDM sijui liliyapata wapi.
Yaani wamesema rais kamwambia waziri mkuu "huu ni upepo tu!". Hayo maneno kayasema lini?
Na hapo ndipo unapoona kurugenzi ya uenezi CDM inavyojaribu kuikingia kifua taasisi nyingine.... Tanzania Daima.
Cheap freakin' politics. What a waste!!!
Hii ina maana rais kama hayupo nchini basi hata kwa simu hawasiliani na waziri wake mkuu kujua kinachoendelea nchini? au ana wapambe wengine akina ngeleja wanaompa habari zote huku akimu ignore waziri mkuu!!
Nini kazi ya makamu wa rais? Tungeanza kumbana yeye pia.
Sikubaliani na hoja kuwa rais amekosea kutowasiliana na Waziri mkuu. Hii siyo lazima na ingawa mimi ni mbumbumbu, nisingefanya maamuzi over the phone. Ningeonana na hao mawaziri face to face na kuhitaji explanation ya hizo tuhuma.
Najua wengi wetu tungependa kuwatimua uongozi kama walivyofanyiwa viongozi wa CDM Sengerema as if mliwapa hela ya kuweka maspika makubwa wakazitia ndani.
kobelo, unayakumbuka maneno haya " kama ningekuwa namaamuzi ningemchukulia hatua Jairo leo hii ila Mamlaka yake ya nidhamu ni Rais mwenyewe aliyemteuwa, nimempigia simu Rais alikuwa bado yuko angani akituwa atatoa maelezo" by Mizengo Pinda.Nini kazi ya makamu wa rais? Tungeanza kumbana yeye pia.
Sikubaliani na hoja kuwa rais amekosea kutowasiliana na Waziri mkuu. Hii siyo lazima na ingawa mimi ni mbumbumbu, nisingefanya maamuzi over the phone. Ningeonana na hao mawaziri face to face na kuhitaji explanation ya hizo tuhuma.
Najua wengi wetu tungependa kuwatimua uongozi kama walivyofanyiwa viongozi wa CDM Sengerema as if mliwapa hela ya kuweka maspika makubwa wakazitia ndani.
Nini kazi ya makamu wa rais? Tungeanza kumbana yeye pia.
Sikubaliani na hoja kuwa rais amekosea kutowasiliana na Waziri mkuu. Hii siyo lazima na ingawa mimi ni mbumbumbu, nisingefanya maamuzi over the phone. Ningeonana na hao mawaziri face to face na kuhitaji explanation ya hizo tuhuma.
Najua wengi wetu tungependa kuwatimua uongozi kama walivyofanyiwa viongozi wa CDM Sengerema as if mliwapa hela ya kuweka maspika makubwa wakazitia ndani.
Tatizo lenu mnakurupuka!!
JK kutuletea mawaziri wazembe ni kosa ambalo yeye inatakiwa awajibishwe. Lakini siyo kila kinachozungumzwa leo basi rais anapewa taarifa. Rais hapewi taarifa kwa kunong'onezana, bali kwa ripoti ya maandishi, na akipata hiyo ripoti ya kikao ndipo huzungumza na waziri. Kabla ya hapo, ni maneno tu ambayo gazeti la CDM sijui liliyapata wapi.
Yaani wamesema rais kamwambia waziri mkuu "huu ni upepo tu!". Hayo maneno kayasema lini?
Na hapo ndipo unapoona kurugenzi ya uenezi CDM inavyojaribu kuikingia kifua taasisi nyingine.... Tanzania Daima.
Cheap freakin' politics. What a waste!!!
Kobello naamini umeamua kutetea ukipendacho tu, damu nzito.
Nijuavyo mimi rais anapewa taarifa ya hali ya nchi kila siku, awe nchini ama safarini. Wamarekani wao wanaita "President's Daily Brief - PDB".
Sitaki kuamini kuna tishio la vote of no confidence kwa waziri mkuu rais asijulishwe na akatoa mwongozo. Asipotoa mwongozo inamaanisha anataka waziri mkuu wake apigwe chini kwa mtindo huo.
Sitaki kuamini wabunge wa chama chako wamekaa wakaafikiana, mawaziri 8 wanaotuhumiwa wajiuzuru ili kuokoa haiba ya chama na serkali yake, uniambie taarifa hizi rais asiwe nazo kisa yupo na Maximo Brasilia.....
Hebu tujiulize kama ilikubaliwa mawaziri 8 waachie ngazi chini ya uenyekiti wa PM, mamlaka ipi imezuia hili lisifanyike?? Je ni Dr. Bilal au Dr. Kikwete???
Kobello ukituliza kichwa kidogo tu utabaini ushenzi wa viongozi wetu na hautapata ujasiri wa kumtetea yeyote kati yao.....