Ezekekiel Maige: Tumtendee haki, wizara anayosimamia ni kubwa sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ezekekiel Maige: Tumtendee haki, wizara anayosimamia ni kubwa sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Huihui2, Apr 24, 2012.

 1. H

  Huihui2 JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wadau wana JF, nimetafakari ukubwa wa Wizara ya Mali Asili na Utalii halafu nikaangalia usimamizi wake nikaona iko chini ya Waziri mmoja Ezekiel Maige bila naibu. Lakini kuna wizara zingine ndogo sana kama Wizara ya Jinsia na Watoto au Habari na Utangazaji zote zina Waziri na Naibu Waziri. Ingawaje wizara hizi zingeweza kuwa idara tu kwenye wizara zingine. Je JK ana kusudia nini kumuachia Waziri mwenye profile ya Ezekiel Maige dubwana kama hilo? Tunaweza tukawa tunamlaumu bure bwana Maige
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  yawezekana nawe gamba. Alimweka hapo anajua sio hivyo unavyotaka kutuaminisha. Ilimchukua siku ngapi kujua wanyama wametoroshwa
   
 3. mayuni

  mayuni JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 406
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kama ilionekana wizara kubwa kwa nn hkusema toka mwanzo.......
   
 4. M

  MALAGASHIMBA Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Aiache kama imemzidi,hana kili yule mpuuzi amekalia kujisifu na kufanya ufisadi.
   
 5. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kama hawezi akae pembeni
   
 6. ALF

  ALF JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Huyo maige ndugu yako? Kama aliona wizara kubwa hataweza angemwambia aliemteua kwamba hataiweza kwani amelazimishwa?. Hivi kama wewe ungekuwa daktari bingwa wa upasuaji alafu ikatokea siku moja ukaambiwa umfanyie mgonjwa upasuaji lakini hakuna vifaa je utakubali? Kama upo makini utakataa, lakini ukikubali kumfanyia upasuaji kwa vifaa duni alafu mgonjwa akafa utetezi wako ukawa alikufa kwasababu ya vifaa duni utaonekana mpumbavu, ndio haya ya kusema wizara kubwa.
   
 7. J

  JAPHETtumpa Senior Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Unataka nani awatendee haki! wananchi ambao hawana mtetezi na ambao hawatendewi haki mpaka sasa hivi ,wananchi waliogeuka wakimbizi ndani nchi yao ,wananchi wasio na kauli juu ya serikali yao ,hao ndio unaomba wawatendee mawaziri haki ,nafikiri hakuna hoja.
  viongozi na ulevi wa madaraka,ugonjwa wa kujisahau na dharau ya kupindukia kwa wapiga kura wao ,unataka tuwape nini tena kwa sababu kila kitu tumewaachia na wanafanya watakavyo
   
 8. t

  tz_devil JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2007
  Messages: 272
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Ondoa mawazo mgando haya. Kuna mawili: 1. Kama kazi nyingi na anahitaji msaada, amwambie mkuu wake wa kazi amuongezee wasaidizi. 2. Kama hawezi kazi aachie ngazi awapishe wale wanaoweza wanafnye kazi. Siyo lazima awe yeye tu kama vile ni mwana wa mfalme wa uwaziri.
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,199
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Pambaf mwambie achie ngazi kuna watu wenye uwezo na wanaiona hiyo wizara ni ndogo sana. Kama amekutuma mwambie hatupo nyambafu
   
 10. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 650
  Trophy Points: 280
  hakuna wizara kubwa wala nini. Ni uzembe au kutokujua wajibu. Kwanza tunatakiwa tuwe na wizara hazizidi jumi.
   
 11. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,199
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kamtetee kwa baba mwanaasha sio hapa jamvin usituletee uchuro yeye ni mmoja wapo anae takiwa kunyongwa kwanza mwambie anunue Kamba ya kazi hiyo
   
 12. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,672
  Likes Received: 2,207
  Trophy Points: 280
  ukibwa WA wizara unamsababisha atoe vibari feki, hewa , kimakosa! Asafirishe wanyama! Kama kakutuma mwambie hawapo bumbafu weee!!!!
   
 13. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Lakini wadau mwanzisha thread ana hoja, regardless whether Maige is a criminal or not. Mti thread ametaka mulinganishe Utalii dhidi ya habari au jinsia na watoto. Inawezekana amewekwa purposeful peke yake ili akifanya ufisadi ionekane kisingizio ni wizara kubwa. All in all the dude is not smart nilishakutana naye kaenye viwanja, hakawii kuwakamata kamata makalio wahudumu wa kike.
   
 14. z

  zaka Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtoa mada hajui kwamba bado kuna maovu mengi ya maige ambayo hayajatolewa hewani.... kuna mengi tu..
  habari ya ujangili wa tembo bado haijazungumziwa, watumishi kuhamishwa mara nyingi kama dili mfano
  bwana rwelamila, ngowi, madanya..... huyo rwela katoka mpanda hadi mwanza, ndani ya miezi mitatu, kisha huyo dar ndani ya miezi sasa yuko mbinga na malipo yake ni takriban 30m per transfer.... tafakari yote ndani ya mwaka mmoja.
  lakini kuna watumishi wamekaa kituo cha mpangakipengere miaka kumi na zaidi bila kuhama na wanaharibu kazi kwa kuzoeana na wananchi
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kama Wizara imeshinda si aondeke tu nini kung'ang'ania madaraka usiyoyaweza :shut-mouth:
   
 16. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Huyu waziri kwa kweli ajivue gamba akae pembeni...
   
 17. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Huyo jamana wako karibu sana na JK, inasemekana kwa kuwa alikuwa naibu pale, aliomba mwenyewe kwa JK asipewe naibu... nadhani kuna midili yao walitaka ipite bila kele kama za akina Ndungu na Mvutakamba, Chani na Nyarandu
   
 18. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kamuambie alokutuma jamaa wamenistukia.....
   
 19. M

  Manyonyo Member

  #19
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br>
  <br>
  Jitendee haki ww kwanza kwa haya yanayotokea Tanzania.Kama wamewekana kishkaji sasa haya ndio mavuno.<br><br>Maige hana majibu katika hili.Lazima awajibike na pia alishiriki kwenye dili.
   
 20. M

  Mgosingwa Member

  #20
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha kabisa kumtetea huyu Waziri, hakuna ukubwa wa wizara wala nini, kama wizara ni kubwa ndo anaipunguza kwa kusafirisha wanyama, kutoa vibali vya uwindajikinyume na utaratibu, kuhamisha wafanyakazi hovyo na kufanya madudu mengi ambayo mengine haykuwa mentioned? He has to go na baadaye achunguzwe na akipatikana na hatia apelekwe mahakamani. Ezekiel namjua vizuri ana tamaa kubwa ya utajiri wa haraka na zaidi ya yote yupo tayari hata kuua ili akamilishe mipango yake ya kupata pesa, huyu ni kuogopa kama ukoma.
   
Loading...