Kuwa na subira ndugu watatangaza tu,possibility kubwa ni mwez wa tisa,mara baada ya wa mujibu awamu ya kwanza kwenda vyuo,hivyo wakujitolea watachanganywa na mujibu awamu ya pili,pia mujibu awamu ya pili huwa wanajitokeza wachache sana sababu weng wao huenda chuo kusoma kwanza,hivyo wakujitolea...