Recent content by ZaBeast

  1. ZaBeast

    TRA yaikadiria ACACIA deni la Tsh. Trilioni 425.4 kama Malimbikizo ya Kodi

    Wise..... They say, Shame on me if you fool me Once, Shame On You If You fool me twicd... Fact boss..its time matter here! Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
  2. ZaBeast

    The Interview: mshana Jr.

    Mshana jr. Kuna watu watakupiga mawe ukiongea kuhusu
  3. ZaBeast

    Msaada

    Sure ngoja niandike hapa Chief-Mkwawa Wameeka 1.OS - Android 4.0 ICS 2. Process - AllWinner A10( Cortex A8) 3. Processor speed - up to 1.2GHz 4. RAM Memory - 1024MB DDR3 5. Flash Memory HDD - 16GB 6. Display 7" IPS Capacitive (1024X600), 5-point multi-touch) 7. WiFi Network -...
  4. ZaBeast

    Msaada

    Salaam wadau... Nilinunua tablets online from somewhere ulimwenguni... Ina display safi, internal memory 16GB, main memory 1GB Problems 1) Ina load slows na ku crash often times pale unapo launch any application i.e apps doesn't hatch succeffully 2) Ina sim card slot kwa ajili ya GSM lakini...
  5. ZaBeast

    Ni mpenzi mwenye kituko gani uliwahi kumpata? Mimi nilimpata huyu

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hiyo safiii
  6. ZaBeast

    Hiki ndo kiasi cha pesa anaingiza Hormonize Youtube kwa mwezi

    Yeah sina uhakika zaidi ni namna gani.... lakini wanalipa.. Sababu waeza kuona zile video uki play unafika pahala unakuta tangazo na unapewa option ku skip aka kuendelea like so... Wale wenye matangazo lazima watakuwa wanalipa boss.... Jaribu kufuatilia
  7. ZaBeast

    Hiki ndo kiasi cha pesa anaingiza Hormonize Youtube kwa mwezi

    $3,500 Siyo ya kuendesha magari ya kifahari boss... Kirikuu tu... Ila nampongeza na nina amini hiyo inaingia kwa account yake na inaweza kumuwezesha kupata mengi zaidi but awe katika game kwa zaidi ya miezi sita bila kupungua bank wamuelewe... Any way watakuwa wanamuelewa simply awe regit...
  8. ZaBeast

    Towards Reality: Zitto Kabwe,PrecisionAir, AirTanzania and Boeing Saga!!

    Lol lazima umelipwa.... I am just thinkig aloud... Let us wait and hope... That the human Wisdom boss.... Wait and hope
  9. ZaBeast

    Machinga wapinga agizo la RC Dar kuzuia uuzwaji wa Filamu za nje ya nchi, Waandamana

    Waigizaji movie za nje wanaenda darasani kusoma.. Kuanzia muongozaji.. Mu igizaji.... Na wanatumia kila technology at their dispol Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
  10. ZaBeast

    Dunia Ilipo kwa mtazamo wangu!

    Sawa boss una point naiona hapo na upo sahihi.... Lakini naomba nikuelezee kwamba mimi nimeishi mikoa kadhaa Tanzania na ninafahamu lugha za kitanzania kadhaa... Lakini nilijiuliza niki post kwa kigogo nina uhakika ni kipost kwa kiingereza watanzania na dunia maana mtandao au www ki dunia...
  11. ZaBeast

    Kitilaaaa

    Ha! Ha! Ha! Udhia au dinari ni balaaa Yuda anaeweza kuelezea hii vizuri zaidi
Back
Top Bottom