Towards Reality: Zitto Kabwe,PrecisionAir, AirTanzania and Boeing Saga!!

Hii dili chichiem itakuwa imempigia magoti Mtemi chenge., maana ndio mtaalamu wa haya ma shell companies ya jersey. am sure kijisenti chake kishatangulizwa kule.

Hiyo scenario niliyoitaja hapo juu was the only realistic exit out of this mess, ila sikufikiria hiyo remix ya offshore company hapo.
Tafuteni mpiga picha mwingine wa shell deals awaambie.
 
Hivi duniani kuna watengenezaji wangapi wa bombardier yenye specification tunazotaka hadi uanze kutangaza tender....watu wameenda kuufata mzigo kiwandani Zitto antaka tuununulie gulioni!!
Kosa sio kununua kutoka kiwandani, kosa ni kutokufuata taratibu za procurement kununua kutoka kiwandani. raisi hakutakiwa ndio kuwa purchaser in chief. Hana utaalam wa procurement. kuwa wataalamu wa procurement wabobezi walitakiwa waongoze hili zoezi. kwenye stage ya research wangeshafichua hizi habari za terrible teens. mambo ya raisi kufanya kila kitu ndio kuwa blindsided na wajanja
 
Zitto amelikoroga, atalinywa mwenyewe. Asitafute mchawi wala kukesha bungeni asikamatwe au kukimbilia mahakamani kuomba hifadhi ya kutokukamatwa.

Mchochezi hatima yake, zamani, alikuwa anachomwa moto.

Nasema kuwa Zitto ni mchochezi kwa sababu badala ya kuzungumzia hilo sakata la ndege kwa ushahidi, kama alivyojitambulisha na sakata la ESCROW, ati anadai Serikali ilitolee ufafanuzi. Lini mtuhumiwa akawajibika kuthibitisha tuhuma zake badala ya mtuhumu.

ZITTO POPOTE ULIPO TAMBUA MUDA SIYO RAFIKI TENA KWAKO
 
Mleta uzi vipi kwani..

Ulitaka ZZK akae kimya kama hiyo ndege inayoletwa ina walakini??

Wewe hii process ya manunuzi ilivyo fanyika unaona ni sawa?

Ndege inanuliwa kwa cash kama sabuni ya omo dukani kwa vvMangi??

Vipi kuhusu uhalali wa bei??

Asante sana Mange Kimambi na ZZK kwa kulisanua hili saga.
Zitto na Huyo Changu, ni mawakala wa shetani.
 
Kosa sio kununua kutoka kiwandani, kosa ni kutokufuata taratibu za procurement kununua kutoka kiwandani. raisi hakutakiwa ndio kuwa purchaser in chief. Hana utaalam wa procurement. kuwa wataalamu wa procurement wabobezi walitakiwa waongoze hili zoezi. kwenye stage ya research wangeshafichua hizi habari za terrible teens. mambo ya raisi kufanya kila kitu ndio kuwa blindsided na wajanja
Usiongelee nadharia bana...hebu nitajie wataalamu wawili wa procurement wenye ujuzi na uzoefu wa kununua ndege hapa Tanzania....Hii kitu inaitwa 10% ilishakufaga mkuu.
 
No no no. hakuna kutiswa mtu hapo, kuna serikali kurekebisha makosa, which is what most of us were here for, sio kutetea kuletewa dege la $89M kwa kulipa $224

KUhusu source ya hiy habari mpya, ni busara wale waliokuwa wanataka official boeing information wazisuribiri zije.wasitake kutumia sources walizozipinga. huo utakuwa undumilakuwili
Kimweri, unaamini kabisa Serikali ya Magufuli, katikati ya macho, masikio na makucha makali ya upinzani, mitandao ya kijamii, na vyombo vya habari inaweza kufanya mambo ya hovyo, kama wewe na wenye mawazo kama wewe, mnavyoamini na kushupalia uzushi na udaku!

WATU WAZIMA HOVYO.

umaskini wa kufikiri ni shidaaaaaH katika nchi maskini kiuchumi
 
Lini tulifanya uchaguzi wa kuchagua MALAIKA?
 
Kosa sio kununua kutoka kiwandani, kosa ni kutokufuata taratibu za procurement kununua kutoka kiwandani. raisi hakutakiwa ndio kuwa purchaser in chief. Hana utaalam wa procurement. kuwa wataalamu wa procurement wabobezi walitakiwa waongoze hili zoezi. kwenye stage ya research wangeshafichua hizi habari za terrible teens. mambo ya raisi kufanya kila kitu ndio kuwa blindsided na wajanja

Mkuu Kimweri: jitahidi angalau kuwaza kidogo nje ya ki'box' tutambue na kuheshimu michango yako humu jamvini.

Ati unaamini Rais ndiye amefanya ununuzi huo kwa kuwa tu amechukua jukumu la kuuambia umma wa Watanzania kuhusu ununuzi huo! Lakini, naamini unajua ni kwa nini Rais analizungumzia suala la ununuzi wa ndege na mambo mengine yenye uzito badala ya watendaji wahusika.

Lakini yawezekana una ushahidi kwamba maamuzi ni Rais mwenyewe. Kama hivyo ndivyo, wacha maneno weka ushahidi hapa. Kufanya hivyo kutatuondolea kero za uzushi kila kukicha.

Naweza kuwa nakulaumu labda kwenye kaya yako wewe ndiye kila kitu, huwashirikishi wanafamilia wako.
 
Unaweza kuweka wazi mchakato wa procurement ya hizo ndege? unaweza kututajia tenders zilitangazwa lini?ukiweka wazi hilo nitafuta kauli yangu.
 
Lini tulifanya uchaguzi wa kuchagua MALAIKA?
Maneno hayo yanathibitisha upeo wa kufikiri ni ndani ya kisanduku.

Hakuna malaika binadamu, nawe wajua hilo. Na kama hakuna malaika binadamu, shutuma za kizushi za nini.
 
Nashukuru kwa kuweka hilo wazi kuw ahatukuchagua malaika. Naomba tusipangiane vya kulaumu. Kwani huyu ndie raisi alietuahidi kushusha bei ya sukari sasa imepanda zaidi, alikataza importation sasa inaruhusiwa. aliyaita makampuni ya simu majambazi, sasa wanawabembelezea wanunuliwe hisa zao.

Tusilazimishane ku-support maungufu.
 
Unaweza kuweka wazi mchakato wa procurement ya hizo ndege? unaweza kututajia tenders zilitangazwa lini?ukiweka wazi hilo nitafuta kauli yangu.
Bado unathibitisha kwamba wewe ni teja wa uzushi.

Pasipo kusumbuana kwa majibizano yasiyo na tija, angalau soma sheria ya manunuzi ya Tanzania (The Public Procurement Act, 2004) udukue kifungu kilichokiukwa kwa ununuzi huo.
 
Makosa mengi yanajaa kitabu, sina haja ya kuyaweka hapa. baba jesca anayajua. na kilichotokea kamchezo hako atakaacha, kama alivyoacha ka mchezo ka kutumbua watu kwenye mihadhara.
 
Nashukuru kwa kuweka hilo wazi kuw ahatukuchagua malaika. Naomba tusipangiane vya kulaumu. Kwani huyu ndie raisi alietuahidi kushusha bei ya sukari sasa imepanda zaidi, alikataza importation sasa inaruhusiwa. aliyaita makampuni ya simu majambazi, sasa wanawabembelezea wanunuliwe hisa zao.

Tusilazimishane ku-support maungufu.

Unaongeza kutufahamishe upeo wako wa kufikiri na kuchambua masuala.

Zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania ni wakulima ambao kwa miaka nenda rudi hawafaidi jasho lao kwa kuuza mazao yao kwa bei ya kutupwa. Wewe unaona kero leo bei ya mazao yake ikipanda!

Mengine uliyoyataja sina sababu ya kuyafafanua kwa kuwa tayari umejifungia kwenye kisanduku.
 
Nani amekwambia kupanda kwa bei ya sukari ni faida kwa mkulima? unaweza kutaja sukari inalimwa wapi?
 
Mnakumbuka jinsi alivyozuia ununuzi wa mitambo ya Dowans ambayo Tanesco walitaka kununua? Zito alisema ile ni mitumba. Mbona leo symbion ndiyo wanatumia kuwauzia tanesco umeme? Zito is anaajenda aijuayo. Sasa nimeanza kuelewa.
 
Nani amekwambia kupanda kwa bei ya sukari ni faida kwa mkulima? unaweza kutaja sukari inalimwa wapi?
Tunatoka nje ya mada kuhusu uzushi wake Zitto, ambao unaushikia bango.

Hayo maswali, hata mtoto wa chekechea, ukimwuliza sukari aliyowekewa kwenye chai atakwambia bila kigugumizi ni ya kutoka wapi.
 
kwa hiyo unaamini kupanda kwa bei ya sukari dukani ni faida kwa mkulima? sasa nimeanza kuelewa washauri wa magu akili zenu ni fupi kiasi gani. mwambieni aruhusu mfumuko wa bei kwenye vyakula ufike asilimia 50 ili wakulima wafaidike. its that easy right?!
 
Na ndivyo inapaswa kuwa.

Jibu ni rahisi tu nalo linatokana na kuzibwa kwa mianya ya kuingiza bidhaa za nje kwa magendo.

Mbona huo ni msingi wa kwanza wa kiuchumi (demand and supply). Uzalishaji wa wakulima au viwanda vyetu hauwezi kuongezeka kadri bidhaa za nje zinaingizwa bila kulipiwa ushuru na kuuzwa kwa bei ya kutupa!

Maekezo mengi ya nini kwa mtu ambaye anafikiri ndani ya mtungi wa maji!!!

RUDI KWENYE MADA KUU - ZITTO AACHE UZUSHI AWEKE USHAHIDI LA ATAUMBUKA KWEUPE
 
Lol lazima umelipwa....

I am just thinkig aloud...

Let us wait and hope...

That the human Wisdom boss....

Wait and hope
 
Back
Top Bottom