Kitilaaaa

Kitilaaaa

Kujipendekeza huku...! Mbona Kikwete kajenga vitu vingi, lakin hata siku moja sijaona anapost huu utumbo.!
 
Kuna misemo miwili mmoja wa Kihindi na mwingine wa Kiswahili inadumu karne na karne.

1. Mbwa ukimjua jina hakusumbui
2. Penye udhia, tia rupia
Ha! Ha! Ha! Udhia au dinari ni balaaa Yuda anaeweza kuelezea hii vizuri zaidi
 
Kuna rafiki yangu mmoja kutoka nje ya nchi alinambia ukiona mtanzania anakuzonga sana we mpe cheo/pesa tu...Hapo unakuwa umemmaliza kabisa.
 
Back
Top Bottom