mkuu hata kizz Daniel alikua ana mwaka Bora Sana 2022 alitoa naye hits song bado ukichukuaa hits za kizz Daniel huwez fanansha na za huyo ayra Starr unayesema alihit
hata Mimi n mwenyew nmesoma mipango mkuu nasema nachokifahamu lakin piaa hapo unaposema kuwa huwez kusoma urban Kama hauna pc nafkr kwenye uhalsia haipo hvyo watu wanahitmu pale hata kushika mouse atengenze mchoro hawezi na hzo hawana
mkuu hyo course aliyoitaja mtoa mada kwa mipango bado inabdi waifanyie maboresho maana wanafunzi wanasoma Mambo meengi yasiyohusiana na maendleo ya miji lakin pia kwenye kutumia software Kama AutoCAD,arch GIS n.k bado n changamoto kwa wahitimu wa pale kwenye hyo course japo kwenye kufahamu Mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.