Recent content by YUDITHA

  1. YUDITHA

    Mkinga adai kupigwa marufuku kwenye vituo vya ITV na EATV

    Mimi binafsi napata shida kumuona mtu anamshambulia mtu badala ya kujadili hoja aliyoitoa huu ni udhaifu mkubwa. mkinga kasema kwa facts za sms kapigwa stop ITV NA EATV sasa badala ya watu kujadili kwa nini apigwe stop? Kwanzaa watu mnatoa matusi then unasema mkinga unamihemuko ala kati...
  2. YUDITHA

    Membe: Msiponichagua mimi mchagueni Pinda

    Huyu anaweweseka sana juzi mwandosya, leo pinda, akiwa tanga January, mara makongoro hana msimamo hatufai
  3. YUDITHA

    Vifurushi vya DSTV Bei Juu Kuanzia Julai Mosi, 2015

    nimetumia tangu elf 2013 kwa hili nategemea kuhama rasmii,, hyu ni mwizi wa wazi sikubaliani nao
  4. YUDITHA

    Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

    Huyu Faiza kwa mavazi yale ni bora Sugu chukua mtoto, ni nini mtoto anajifunza kutoka kwa mama yake kama sio tabia mbaya tu? tunatengeneza taifa la watu wasiokosa maadili kwa style hii ya faiza
  5. YUDITHA

    Rais Robert Mugabe ateuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa AU

    simba wa yuda anangurumaaaaa
  6. YUDITHA

    Muuza madawa ya kulevya maarufu wa Magomeni "Beka Ranger" akamatwa na polisi

    Nitafurahi kama nitasilia kafungwa maisha hukohuko
  7. YUDITHA

    Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

    Leta hoja ya kwa nini kikwete hataki kimfukuza fisadi muhongo? Zaid ya hapo ni walewale
  8. YUDITHA

    Nassari aweka hadharani kimemo cha siri alichoandikiwa na Mwigulu Bungeni

    Huo Nassari ni uchizi haiwezekani jambo nyeti kama hili unajeuza sifa
  9. YUDITHA

    Watoto wa rais obama ndani ya skendo chafu ya mavazi ya kihasara

    Inaelekea hawa watoto wamebanwa mno wanahitaji wadau wafanye mambo
  10. YUDITHA

    CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    CCM WAGEUKA MBOGO WALAWITI DEMOKRASIA. Dhana na misingi ya kidemokrasia iko wazi ktk jamii ikiwemo uhuru wa wananchi kushiriki ktk mijadala mbalimbali na kutoa maoni yao kwa mambo yanayohusu Taifa letu. Kitendo cha paul makonda kuwaonga na kuwa kodi vijana wasiojielewa wa vyuo vikukuu ili...
  11. YUDITHA

    Serikali ya CCM yakata tena mishahara ya walimu

    Kuna comments nyingi zinatulaumu walimu kama ndio ngazi ya mafanikio ya ccm. Ifahamike kwamba huu ni mtazamo tu wa mtu si kweli walimu wote ni vibaraka wa ccm wapo sipingi asili mia. Kuna wasomi wengi kama akina Dr. Bana, profesa shivji wanashabikia ccm kwa hiyo huu ni udhaifu wa mtu...
  12. YUDITHA

    Serikali ya CCM yakata tena mishahara ya walimu

    Serikali imekata mishahara ya walimu ktk viwango tofauti tofauti bila kutoa sababu za msingi za makato hayo. Ikumbukwe kuwa mshahara ni haki ya mtumishi. Kwa kitendo hicho serikali ya inajidhirisha ni kinara wa wizi. Kuna watu wamekatwa elfi 60,wengine 25 na wengine 14 huu ni wizi wa waziwazi...
  13. YUDITHA

    Je unataka kujua siku ya kifo chako?

    haya ni matokeo ya ukosefu wa elimu bora
  14. YUDITHA

    Je unataka kujua siku ya kifo chako?

    haya ni matokeo ya ukosefu wa elimu bora
  15. YUDITHA

    Timing ya kusex kwa wanandoa wenye watoto wadogo

    Lea watoto wenu ni zawadi kutoka kwa mungu
Back
Top Bottom