Akienda arusha atasema ka si yeye wchague Lwasa, akienda singida kama si yeye wamchague mwigulu!! Huyu kweli hajitambui na alisema kama si yeye basi wamchague Mwandosya!
Membe ameyasema hayo akiwa Mpanda mkoani Katavi, kwamba mpaka sasa roho yake inadunda mapigo mawili Pinda/membe ana uhakika akishinda yeye ameshinda Pinda akishinda Pinda ameshinda yeye
mjanja. Kaishatonywa kuwa chaguo la ccm ni Pinda kwa hiyo anajisogeza karibu na Ikulu.
Huyu hafai kuambatana naye karibu, ni njoka, shweitani,jino kwa jino, mpenda madaraka na kigeugeu.
Ningekuwa Pinda ningemuepuka kama ukoma
Nani ampe uraisi huyu mpuuzi Membe
Kadhihirisha kuwa yeye ni msindikizaji tu na sio mshindani wa kweli ni bora 1m yake angenunua mahitaji ya nyumbani kwake au angeenda kutoa sadaka kuliko kuipoteza bure