Recent content by Yrsozigwa

  1. Yrsozigwa

    JamiiForums Tanzania Rich Mavoko feat Diamond ''Kokoro'' ni habari mpya ya mjini

    Aaaa sio kwa mitusi hiii sisi wanafasihi tutapata shida sana kusikiza wimbo huu maana tutakua tunanyambua kila ubeti
  2. Yrsozigwa

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Rais Magufuli kuhusu Katiba Mpya wamtesa Tundu Lissu

    Labda amesahau tu
  3. Yrsozigwa

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais afanye nini tujue ana nia njema na Taifa hili?

    Duh hivi wenzetu nyie mnafanya kazi gani ambayo kwa kipindi hiki munaweza kumudu ugumu wa maisha bila kulalamika....???
  4. Yrsozigwa

    JamiiForums Tanzania Mazee, kila nikimkumbuka ex-gf wangu lazima nijilipue, hii imekaaje!!?

    Yaan we ni x girlfriend kuna jamaa leo tumemzika kisa x wife tena alishaoa mwengine baada ya kuachana na huyo x wake lkn bado roho yke haikuridhika Pendeni kidogo jaman msizame sana wanawake wanamengi mnoo
  5. Yrsozigwa

    JamiiForums Tanzania Kule Zanzibar serikali na dini ya kiislamu vina unasaba?

    Bado haitoshi
  6. Yrsozigwa

    JamiiForums Tanzania Kupatwa kwa Jua: Sayansi imethibitisha Mungu hayupo

    Naomba utuambie asili yako kisayansi kama kweli
  7. Yrsozigwa

    JamiiForums Tanzania 22 wafukuzwa Nyegezi Seminary kwa tuhuma za ushoga

    Naona we MGENI unatumia nguvu kuwaaminisha watu kua mnachokifanya kina uhusiano na Uislam, hata unadiriki kupotosha hadharani eti Qurani 2:223....?? Imeruhusu.... Unaijua Quran wewe...?? Hamtakiwi muwe na chuki na kukurupukia msiyoyajua kuhusu Uislam bali Munatakiwa musome Uislam ili hata kama...
  8. Yrsozigwa

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lissu "Handle with care"

    Uliwaza nn mpaka ukanena haya
  9. Yrsozigwa

    JamiiForums Tanzania Darasa kala Maharage ya wapi?

    Duh nadhani tupo tofaut kidogo Darasa huyu sio yule wa skatitamaa,hakisawa,nishikemkono na siombayaa... Afu hawa wasanii sijui wapoje wanaanza vizur baadaye wanazingua wanabaki kubebwa na watu kama wewe mtoa uzi lkn kiukweli hamna jipya hapo
  10. Yrsozigwa

    JamiiForums Tanzania Singida: Tundu Lissu(MB) akamatwa na Jeshi la Polisi, Kusafirishwa kupelekwa Dar haraka!

    Picha ndo linaanza new Tanzania
  11. Yrsozigwa

    JamiiForums Tanzania Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

    Duh angalau wewe umepangilia vizur story yako.... Ila kama ingekua kweli ungeangalia tu kama unamoyo wa kijambazi unaweza endelea naye..
  12. Yrsozigwa

    JamiiForums Tanzania PLAN A: Kuelekea Sept 1, Operesheni UKUTA vikosi vimepangwa hivi

    Plan A for good
  13. Yrsozigwa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mimi sijaribiwi, wasije kunijaribu. Atakayeleta vurugu atashughulikiwa bila huruma!

    Tutafika tu ila sisi wasaka tonge hayatuhusu hayoo yoote
  14. Yrsozigwa

    JamiiForums Tanzania Mchuzi wa pweza una nini cha ziada cha kuongeza nguvu za kiume?

    Naomba maelezo ya kitaalam ya ni nini cha ziada kilicho kwenye samaki pweza ambacho kinaongeza nguvu au kusisimua kuelekea katika tendo...ambacho kwenye samaki wengine hakipo, Au ni imani tu...?
Back
Top Bottom