Recent content by Young Philosopher

  1. Y

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Weka hapa nyimbo hii tupakue nasi tuupate uhondo
  2. Y

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Msalala-Shinyanga yeye aje Buchosa
  3. Y

    Ngono nzuri na tamu ni ipi..?

    Tamu Tamu Tamu Sana.
  4. Y

    Mambo makubwa ambayo yamefichwa kwenye vitabu vya dini

    Nimejenga Maswali Hapa: Mungu Ilimpendeza Wanyama Wawe Wawili Wawili, Kwa Nini Alimuumba Adamu Peke Yake Kwanza? Lengo Lilikuwa Nini? Pili Kwa Nini Ukweli Wa Lilith Ufichwe? Na Wakati Mungu Ni Mwenye Upendo, Anasema Kweli Itakuweka Huru. Wana Theology Fafanueni Hili.
  5. Y

    Swali.ipi dawa sahihi ya asili ya kukuza uume?

    Masikini Dah! Falsafa Ya Mwanzilishi Wa Jukwaa HiliNi Ushauri Wa Kitaalamu, Kisaikolojia Na Tiba. Tafakari Kabla Ya Kujibu. Kuna Watu Wanajinyonga Kwa Tatizo Hilo, Watu Hawa Wajengwe Kisaikolojia Kuhusu Fore Play Before Penetration, Pamoja Na G-sport Location, Then They Won't Worry About Penis...
  6. Y

    Msaada: Ni nini kinasababisha sikio kuziba kwa nta mara kwa mara?

    Sijawahi Tumia Earphone Bwana mdogo. Jaribu Kutafakari Na Kuchangia Hoja. La Sivyo Acha Wataalamu Wajibu Kitaalamu. Tabibu Hakurupuki Humdadisi Mgonjwa. Hekima Japo Kiduchu Itakusaidia.
  7. Y

    Msaada: Ni nini kinasababisha sikio kuziba kwa nta mara kwa mara?

    Habarini Za Majukumu Wakubwa? Ninaomba Msaada Wa Kitabibu. Nimekuwa Na Shida Ya Sikio Moja Kuziba Mara Kwa Mara Kwa Nta. Nimesafishwa Mara Tatu Sasa Hospital Kwa Njia Irrigation. Naomba Wadau Kueleweshwa Tatizo Ni Nini? Na Tiba Ya Kuzuia Sikio Kutoa Nta Iliyopita Kiasi? Thank You In...
  8. Y

    Nahitaji kuoa

    Karibu Ila Uwe Tayari Kujiendeleza, Maana Ungali Mdogo Sana.
  9. Y

    Nahitaji kuoa

    Samahani! Kwa Hilo Hata Waislam Mwakaribishwa Dah! Ckujua Kama Nitawanyima Nafasi Kiasi Hicho. Naam Mapenzi Ni Majani Popote Huota Hayajali Rangi Dini Wala Kabila. Ni Fasiri Ya Nidhamu Na Mapendo Kwa Wale Wapendanao.
  10. Y

    Nahitaji kuoa

    Nahitaji mke mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 33. Awe mkristo, elimu f6 na kuendelea. Awe na mwili wa wastani. Kama una nia ya dhati ni pm tafadhari tuongee zaidi.
  11. Y

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    "Success requires sacrifice":bathbaby:
  12. Y

    Utengenezaji joto la kuku

    :A S 41: Good idea!:bange:
  13. Y

    PSPF na mikopo ya elimu

    Poleni nduguzanguni kwa ujambazi huo wa PSPF. Wakopeshaji wote wapo kwa ajiri ya kujinufaisha wao na si kuboresha maisha ya mkopaji. So! tutumieni akili na maarifa tulopewa na Mola kujikwamua kiuchumi.:bange:
  14. Y

    Ushauri kwa wale wanaotaka kuomba nafasi ya chuo UDOM

    :yo: Kwa Ushauri wa gizani nakuvulia kofia
  15. Y

    Kijana, kujenga nyumba ni uoga wa maisha

    Kijana naona bado maisha huyajui. watu wanakopa na kuanzisha biashara kisha wanafilisika. bora kujenga cku umeishiwa unayo asset ya ardhi.
Back
Top Bottom