Recent content by Yosi

  1. Y

    ITV na Wosia wa Baba wa Taifa

    Mwee!!?? Hivi kwenye ile sheria si vinaweza kwenda pamoja...faini na jela; punguzeni jazba.
  2. Y

    Kigamboni Bridge at Night Looks so Beautiful

    Chezea TZ wewe...yaani hapo hakuna kibao sijui Daraja hili limejengwa kwa msaada wa watu sijui wa nchi gani sijui; Wazo: Kipigiliwe kibao chenye maelezo haya: "DARAJA HILI LIMEJENGWA KWA FEDHA ZA WALIPA KODI WA TANZANIA"
  3. Y

    Dar: Wilson Kabwe anasa kwa Mkuu wa Mkoa, Makonda

    Hapo sasa...'musingi'...?! Napita tu, lugha hii ina wenyewe.
  4. Y

    Vyombo vya Habari vya Ulaya vyazidi kuiandama Serikali ya Tanzania

    Libya walipigiwa 'single' hiyo hiyo ya 'demokrasia' walipojichanganya tu kwa kukubaliana nayo kuwa hawana demokrasia basi hadi leo hawamjui raisi wao ni nani wala bunge lao ni lipi....wana mawaziri wakuu kama watatu hivi yaani ni shiiiida. Hapa mimi naona nchi inatafutiwa 'timing' ivurugwe...
  5. Y

    Mkoa wa Dar es Salaam sasa kuwa na Wilaya tano

    Usishangae! Mimi nachukulia idadi ya watu wa Kilombero na Dar es Salaam, mwingine ataangalia ya Bagamoyo. Kwa mujibu wa sensa ya taifa ya mwaka 2012: Wilaya ya Kilombero yenye kata 35 ilikuwa na watu 407,880 ikiwa na maana kila kata ilikuwa na wastani wa watu kama 11,654; mkoa wa Dar es Salaam...
  6. Y

    Ushauri wangu juu ya wakiristo na usalama wao

    The best of laki si pesa. Kwani nani atakulaumu kama huna kitu cha kuchangia? Wakati Fulani ni vibaya kuutanabaisha umma uwezo wako wa kufikiri.
  7. Y

    Afrika ilishaachwa na Mungu tangu kitambo

    Hivi ni mazingira yapi yalitokea waafrika tukauzwa na kusarishwa kama mifugo.
  8. Y

    Watuhumiwa wengine watatu wa Sakata la ESCROW wafikishwa mahakamani leo

    Umenisaidia kuelewa vizuri, kwa hiyo kumbe kama sio mtumishi wa umma kumbe unaruhusiwa kutoa rushwa!?
  9. Y

    Watuhumiwa wengine watatu wa Sakata la ESCROW wafikishwa mahakamani leo

    Niliwahi kusikia hotuba ya baba wa Taifa, Mwl Nyerere, akisema wakati wa utawala wake hawakuwa na mchezo na suala la rushwa....Namnukuu "...mtoaji na mpokeaji wazanaki wanasema wote 'manzanyanza'..." Mwisho wa nukuu. Hivyo ndivyo sheria ile ya rushwa ilivyo yaani mtoaji na mpokeaji wote...
  10. Y

    Nimempa ujauzito mke wa mtu

    Sijakuelewa vizuri....umepiga mimba ya mke wa mtu? Kama ni hivyo mbona fasta tu unatakiwa ufunguliwe mashtaka!!....Yaani umemdhuru mtu maungo yake. Lakini kama kwenye maelezo yako tatizo ni lugha yaani labda unamaana nyingine, mfano kumtunga mimba mke wa mtu.... hapo jiandae kushtakiwa kwa kosa...
  11. Y

    Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

    Kuandika vitu vya uongo namna hiyo ni ku-promote michepuko ambayo ni chanzo cha UKIMWI. Sijaelewa ili iweje!!
  12. Y

    Ni Mtanganyika+ Mzanzibar(Mtanzania) gani ni mashuhuri kabla na baada ya Uhuru+leo?

    Sitamsahau Simba wa Vita aliyewahi kushika wadhifa wa Uwaziri Mkuu kwenye serikali ya Tanganyika na kwenye serikali ya Tanzania huyu ni Marehemu Rashidi Mfaume Kawawa.
  13. Y

    Kinacho endelea msako wa wahamiaji haramu

    Pole, hayo maelezo ya kumtetea huyo mzee wako tu yapo hivyo je ukiambiwa uimbe wimbo wa taifa la Tanzania utaweza? Si kitu, hapo unaweza kuwaona jamaa wa UNHCR au kama wapo humu ndani subiri huruma zao vinginevyo utaumizwa zaidi kimawazo.
  14. Y

    Kabila gani zuri jamani la kuoa?

    Oa mwanamke, usioe kabila.
  15. Y

    Ni viumbe 2 tu wanafanya ngono mojawapo ya starehe duniani

    Yaah nadhani hilo alilokueleza prof halina ubishi, lakini vipi kuhusu hawa sokwe wa jamii ya Bonobo mbona wao wanapiga ngono mwanzo mwisho yaani wanajiachia kuzidi maelezo? Tena nasikia hao Bonobo ndio mabinamu wa karibu wa binadamu huko msituni, je hawawezi nao wakawa ni wamojawapo wa kufanya...
Back
Top Bottom