mwenyeKitu
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 945
- 772
Hivi bado wamachinga hawajaanza kupanga bidhaa hapo darajani?
Kwa nini wasiwekeze kwao? Ni sababu ya better business prospects. Kwa hiyo point yako haina mantiki hata kidogo.Mwekezaji no. 1 TZ Ni Kenya ikifuatiwa na afrika kusini. Kenya wana kampuni nyingi kubwa hapa TZ yakiwemo mabenki kadhaa
Chezea TZ wewe...yaani hapo hakuna kibao sijui Daraja hili limejengwa kwa msaada wa watu sijui wa nchi gani sijui;
Subiria tazara uone machata ya wajapanChezea TZ wewe...yaani hapo hakuna kibao sijui Daraja hili limejengwa kwa msaada wa watu sijui wa nchi gani sijui;
Wazo: Kipigiliwe kibao chenye maelezo haya: "DARAJA HILI LIMEJENGWA KWA FEDHA ZA WALIPA KODI WA TANZANIA"