Ushauri wangu juu ya wakiristo na usalama wao

Ushauri wangu juu ya wakiristo na usalama wao

Status
Not open for further replies.
laki si pesa leo nijiridhisha kweli we ni mbumbumbu...na lazima utakuwa unaishi kwenu
 
Last edited by a moderator:
Duh yesu Leo so katoka mkuku yamemshinda bora Al-shabab wake wawafunze adabu has a hawa police
 
Al Shabaab wakija tz waislam tunakula bata tu, tena tutawakaribisha vizuri tu, makafir cha moto mtakiona

Hahahahaaaaa we laki si pesa mi unanivunja mbavu zangu lol acha kuwarusha wenzako roho ha ha haaa
 
Watashindana lkn hawatashinda kristo ni nguvu na tumaini letu naunga mkono mkakati wa military kwa waumini wa kikristo
 
Jamani naeza kuwatahadharisha ya kwamba al_shabaab na wengine wa aina hiyo hawapiganii uislam bali ni anasa na utawala za kidunia. Na si kila anaewashabikia ni muislam kuna watu wanacheza na mind zetu bila kujua. Angalia afghanistan toka imechukuliwa na taleban biashara kubwa ilikuwa madawa ya kulevya. Like wise somalia. So people naupigane kwa udini mjue adui yako ujinga na umaskini na upumbavu na ushabiki wa kishamba. Mie sio muislam lkn I can deduce that.
 
Al Shabaab wakija tz waislam tunakula bata tu, tena tutawakaribisha vizuri tu, makafir cha moto mtakiona

Something wrong in upstairs!!! You have to reason as learned person!!!! One day you i'll realize the evil u 're promoting here.. Usichochee haya mambo ndugu, Ubarikiwe kwa soma haya maneno na jifunze ubumilivu
 
Jamani naeza kuwatahadharisha ya kwamba al_shabaab na wengine wa aina hiyo hawapiganii uislam bali ni anasa na utawala za kidunia. Na si kila anaewashabikia ni muislam kuna watu wanacheza na mind zetu bila kujua. Angalia afghanistan toka imechukuliwa na taleban biashara kubwa ilikuwa madawa ya kulevya. Like wise somalia. So people naupigane kwa udini mjue adui yako ujinga na umaskini na upumbavu na ushabiki wa kishamba. Mie sio muislam lkn I can deduce that.
hawa wanaongozwa na majini ndo mana wanapenda damu kuliko chakula
 
Al Shabaab wakija tz waislam tunakula bata tu, tena tutawakaribisha vizuri tu, makafir cha moto mtakiona
The best of laki si pesa. Kwani nani atakulaumu kama huna kitu cha kuchangia? Wakati Fulani ni vibaya kuutanabaisha umma uwezo wako wa kufikiri.
 
Wakristo hamna jinsi, lazima al shabaab wawape adabu tu,

Yaani we jamaa unashabikia vitu opposite tu, hata kwenye siasa post zako nyingi za kustajaabisha kabisa!!! Tafadhali hata ushabiki sio hivo...ficha upumbavu wako ndugu
 
Mimi Mkristo kufa kwa ajili ya Yesu Kristo ni faida. Huyo atakayeniuwa kwa ajili ya allah atapata hasara. Neno la Mungu litadumu milele hakuna nguvu inayoweza kuzima Neno la Mungu hata kama dunia itabaki na Wakristo 100 tu. Hawataweza kamwe

Unakifungu chochote kinacho kusaport kwenye biblia....
Au unapayukapayuka kama watu wa mataifa.
 
MTU Kama huyu ndio anapamba jukwaa La jf mods mmeshindwa kazi bora cyber crime ije tu tuwashughilikie huko mahakamani
Mods nao wamekuwa kama serikali ya kikwete watz wameuwa na kupigwa risasi znz hakuna aliyekamatwa ila walipomwagiwa tindikali wasichana wawili wa uk kule znz ponda alitafutwa na alipigwa risasi kumbe walikuwa wanawajua wanaofanya hivyo ila walikuwa wanafurahia kwa kuwa waliokuwa wanauawa ni watz wakristo na si wazungu wala waislamu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom