Kinacho endelea msako wa wahamiaji haramu

Kinacho endelea msako wa wahamiaji haramu

Inauma sana kwamba oparesheni hii imegeuzwa biashara kwa wanaoisimamia. Kuna member humu juzi kasema alipokuwa anasafiri toka Kigoma alipona baada ya kuombwa kitambulisho na kukuta jina lake kwenye leseni ya udereva ni la asili ya nyanda za juu kusini (Kina Mwa...). Angekutwa na jina la kiha au kihangaza yangemkuta makubwa.

Hata mzee Samuel Sitta ameeleza hofu yake juu ya uendeshwaji wa zoezi zima na mwisho kauliza, serikali ilikuwa wapi miaka yote hao wahamiaji haramu wakiwa humu nchini? Why today!

Sitta yeye sio sehemu ya Serikali? Au mke wake naye ni mtutsi nini?!!
 
Na kwanini msubiri hadi msakwe kama wanyama? rudini kwenu. Vinginevyo mngelikubali mipaka ya kijerumani-Rwanda na Burundi wilaya za Tanganyika yasingeliwakuta haya.
 
Huyu musako siyo muzuri munawaoneya watanzania wenzunu,hiyi ni mbaya ebwana sasa wenzetu wanatutenga kujumuiya ya africa mashariki sisi tutatumika kwa fasi gani?
 
wamemupa kesi ya kufaziri kundi la M23, inasikitisha sana kwa uonevu huu
Mkuu Intelligence ya Tanzania hafanyi kazi ya kubahatisha, mbona huko kuna Wanyarwanda wengi tu wakazi wa kudumu - kwa nini wamkomalie huyo tu, kuna kitu pale si bure. Tusijaribu kuhoji vitu ambavyo hatuvielewi vizuri, tuachie dora ifanye kazi yake.
 
Huyu musako siyo muzuri munawaoneya watanzania wenzunu,hiyi ni mbaya ebwana sasa wenzetu wanatutenga kujumuiya ya africa mashariki sisi tutatumika kwa fasi gani?
Mkuu kuwa mkweli - wewe ni Mtanzania kweli?
 
Kwa kuwa wameshaambiana JF wnapita watu humu ...wanakuja hapa ...hata kuandika tu unajuwa...Mmmm .hawa
 
Japo sipend unyanyasaji katika zoez hil na kuingiza uhasama katika hili jambo lakin huyu mleta mada mmmhh,

cc
maafisa uhamiaji.
 
Huyu musako siyo muzuri munawaoneya watanzania wenzunu,hiyi ni mbaya ebwana sasa wenzetu wanatutenga kujumuiya ya africa mashariki sisi tutatumika kwa fasi gani?

pole pole mutu ya congo!
 
Chuma ya LIGANGA peke yake inatosha kusababisha mafuriko ya mzigo hapo bandari ya bagamoyo.

Hujaweke bado kitu ya zambia na Congo.

unajivunia kusafirisha chuma nje? Kwanini kisitengeze ,mabati, nondo, angle lines, square section etc kutumia nchini na kusafirisha nje?
 
harafu bado kuna watu watakuja kulalamika eti tunatengwa EAC.
kwa unyanyasaji huu tunaofanya kwa raia wa nchi majirani tutegemee kutengwa kimyakimya tu.

pia kuna watu watakuja kusema tujitoe EAC.

hizo bandari tukijenga bila kuwa na ujiran mwema na majiran tutaishia kupitisha unga tu wakina masoga

wanaoshikwa wanafanyiwa mambo za kinyama sana. wengine ni watanzania wenzetu lakin wanalazimishwa kuwa raia wa nchi nyingine.

ukweli lazima usemwe
ww tushakujua ni mnyarandwa na unawatetea sana hao wahamiaji haramu nazni utakua umetumwa na kimbaombao wenu uangalie nini watz wanasema kafie mbali.......
 
Huyu musako siyo muzuri munawaoneya watanzania wenzunu,hiyi ni mbaya ebwana sasa wenzetu wanatutenga kujumuiya ya africa mashariki sisi tutatumika kwa fasi gani?
Pole, hayo maelezo ya kumtetea huyo mzee wako tu yapo hivyo je ukiambiwa uimbe wimbo wa taifa la Tanzania utaweza? Si kitu, hapo unaweza kuwaona jamaa wa UNHCR au kama wapo humu ndani subiri huruma zao vinginevyo utaumizwa zaidi kimawazo.
 
harafu bado kuna watu watakuja kulalamika eti tunatengwa EAC.
kwa unyanyasaji huu tunaofanya kwa raia wa nchi majirani tutegemee kutengwa kimyakimya tu.

pia kuna watu watakuja kusema tujitoe EAC.

hizo bandari tukijenga bila kuwa na ujiran mwema na majiran tutaishia kupitisha unga tu wakina masogange.

wanaoshikwa wanafanyiwa mambo za kinyama sana. wengine ni watanzania wenzetu lakin wanalazimishwa kuwa raia wa nchi nyingine.

ukweli lazima usemwe
hivi na wewe mwenzetu?
 
Kuna uwezekano mkubwa huyo mhanga ni supporter wa m23. majority, if not all tutsis regardless wanaishi nchi gani they support m23...wengine wapo huku Dar. Wote waliokuwa wanawa support RPF miaka ya 90 kuna uwezekano mkubwa wanawa support m23 pia
Mkuu Rushasha uwezekano wa a substantia No. ya Watutsi kuwa-support M23 unafikia asili mia mia regardless ya nchi wanazo ishi - wako well orgised - tumeishi nao tunajua mentality zao zilivyo, labda niongezee hapa kwamba sio kwamba Watutsi wote wako hivyo au wanakubaliani na Modus Operandi ya PK na ndoto zao ya ajabu. Hapa mwandishi anajitia kumtetea mzee huyo kwamba ajui kuandika wala kusoma as if ajui kuzungumza Kinyarwanda!! Sina shaka watu wa usalama hawawezi kumtia kashi kashi mzee huyo bila ya kuwa na taarifa za kintelijesia za kuaminika, wana usalama wanajua walifanyalo kwa hiyo sisi kama raia hatupashwi kuwaingilia katika utekelezaji wa kazi zao; kuna uwekano mkubwa wa watu wasio tutakia mema kumtumia mzee huyo kama cover ya ku-infiltrate special forces zao na ku-create sleeper cells inside ourland na si ajabu mleta malalamiko ni handler wake huko Rwanda/Kigali - ndio mambo ya ujasusi yalivyo!! - Tusichukulie omba omba, wanaojifanya vichaa, wahuza kahawa, ndizi, miogo na samaki huko mipakani, Mwanza, Bukoba na huko Dar hasa hasa ma clearing agents kwamba wote ni harmless - chunga sana.
 
kila mtu ana kwao; baada ; ya hapo twende na kwa wale wenye asili ya Asia; nadhani tutaonyesha tumedhamiria kweli
 
Kumekuwepo na ukiukwaji wa maagizo ya rais ktk zoezi hili, kwa sasa imegeuka biashara.Mfano mzuri ni Biharamulo, watanzania wenye asili ya kinyarwanda wamekamatwa na kubambikiwa kesi, MF. Mzee Budugu, huyu hajui kusoma wala kuandika hata kujaza voucher ya simu hajui.

Walienda kumpekua kwake kama anahifadhi wanyarwanda wenzie hawakukuta mtu zaidi ya watoto wake na mkamwana wake wakamwambia twende ukaandikishe maelezo kuwa hatujakuta mtu kwako na alipofika polisi wakamuweka ndani.

Wamembakizia kesi ya kufadhiri kundi la M23, inasikitisha sana kwa uonevu huu.
Mbona rais alishasema kuwa anaetaka kushi TZ awe na vibali sasa yeye kilichomshinda ni nini hasa
 
Mkuu kuwa mkweli - wewe ni Mtanzania kweli?

Mimi ni mutanzania kulikoweye na kama munacheza mutaona kiswahili yangu ianweza kumbaya ebana lakini mama yangu ni mubongo na mimi hivyo ni mubongo na hakuna wa kunitoa hapa!
 
ww tushakujua ni mnyarandwa na unawatetea sana hao wahamiaji haramu nazni utakua umetumwa na kimbaombao wenu uangalie nini watz wanasema kafie mbali.......

Ngoja wacheze makida makida kwenye nyaya za umeme! TZ sio kongo...hapa wameshachemsha...mipango yao miovu tunaijua...wasubiri tu matokeo. Supporters wao (wengine washawahi kuwa hadi makatibu wakuu wa wizara na wakurugenzi...wengine ni wabunge nk) wote wasubiri kitachotokea. Eti wanajilinganisha na WaIsrael.. mmmh!
 
Samwel Sitta aliyoyasema kuhusu mada hii ni aibu tupu kwa serikali. Akiwa waziri asingweza kusema haya hadharani hata kidogo. Kuiponda namna hii serikali ambayo yeye ni waziri ni janga la mwaka hata kama yaliyosemwa ni sahihi. Huyu baba tangu aukose u- pm na kung'olewa u-spika nahisi aliapa kuiadhiri serikali yake kiujanjaujanja. Mada zake wakati wote zina chembechembe za kuiadhiri serikali yake kama vile haigii kwenye baraza la mawaziri. Labda ana frustrations kibao. Nahisi akiendelea hivi atakuja jikuta anapata heart atack au ana-paralize kulia.
 
Back
Top Bottom