Recent content by yonga 1989

  1. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dar: Ajali ya mchezaji wa simba Che Malone yaua dereva wa bodaboda

    Kutoka hapa ktk Kijiji cha kasumo,wilaya ya buhigwe mkoani kigoma,. Ambapo pia ni nyumbani kwa v.i.p dr philipo isdory mpango....mwili wa marehem umewasili jioni ya jana na mazishi yatafanyika asubuhi...habali za uhakika ni kua...che malone amegalamia shughuli zote za msiba, ikiwa ni pamoja na...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

    Hili kijana lipumbafu kweli kweli..umesema alikua na salary $3000 kwa mwezi, Almost 7m kwa mwezi,,sasa aliwezaje kufungua grosary ya 500k
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Ili kufidia mabilioni yaliyopotea, Waziri Mwigulu ongeza Tozo Wazalendo tuko tayari kuchangia maendeleo ya Nchi na ya viongozi wetu.

    Mm Nashauri ndugu zangu, serikali yetu tukufu..iturejeshee kodi ya kichwa,kodi ya baiskeli huku kwa wakulima wa maharage na mahindi kakonko...pikipiki nazo zimekua nyingi ningeshauri ianzishwe kodi maalum kwa bodaboda...Au nasema uongo ndugu zanguni?
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Nipo live eneo la usahili anwani za makazi na postikodi

    halimashauri ya ubungo vipi? Mkeka haujatoka?
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na wenzake: Kwanini Jaji na Mawakili wa Serikali wanalazimisha kutajwa majina na anuani za Mashahidi wa Utetezi?

    Hakuna taabu ngoja tumfukuze halafu tumuweke mama yako awe mwenyekiti wa chadema.. Tu
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Volkswagen Golf - Mkombozi wa Wanyonge!

    Mnyonge wa watu hii threed hainihusu.....
  7. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii aibu ya kukosa Penalti Simba waivue, sasa inatosha!

    Wenzetu mtakufa kwa kihororo....
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

    We nawe pumbafu kweli kweli....
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Tulioitwa Dodoma Kwenye Usahili wa Awali TAKUKURU (PCCB) hebu tujuzane kidogo

    Jkt, umri nilijaza na cheti cha STD7...Kwa kweli nilijaza taarifa za uongo lakini ajabu nimeitwa..nawaza sijui niache kuchoma nauri yangu au niichome tu....Tafadhali napokea ishauri
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Kinachoua lounge na bar nyingi Dar ni huduma mbovu kwa wateja

    Shida yenu ni misifa nakupenda kutukuzwa kama wafalme...jitu linaona mhudum yuko bize, kabla ya kusema lifuate kinywaji kaunta utalikuta limekazana kuita mhudum kama limefungwa kwenye kiti...nyoko zenu walevi mbwa.
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye akili timamu hawezi kula kumbikumbi

    Hili lijamaa ni lipumbafu kweli kweli....
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye uelewa na chuo cha NIT

    Habarini za kutwa wakuu. Poleni kwa mihangaiko ya mchana kutwa. Nina kijana kahitim kidato cha nne mwaka huu 2021, kwa sasa hivi yupo tu nyumbani hana shughuli ya kujishugulisha, hivo ningependa kipindi hiki ambacho anasubilia matokea aweze walau kupata hata certificate ya udereva. Nimekuwa...
Back
Top Bottom