Msaada kwa mwenye uelewa na chuo cha NIT

Msaada kwa mwenye uelewa na chuo cha NIT

yonga 1989

Member
Joined
Sep 20, 2018
Posts
14
Reaction score
10
Habarini za kutwa wakuu.

Poleni kwa mihangaiko ya mchana kutwa.

Nina kijana kahitim kidato cha nne mwaka huu 2021, kwa sasa hivi yupo tu nyumbani hana shughuli ya kujishugulisha, hivo ningependa kipindi hiki ambacho anasubilia matokea aweze walau kupata hata certificate ya udereva.

Nimekuwa nikisikia habari ya chuo cha Taifa cha usafirishaji huko mjini Dar.

Tafadhalini kwa mwenye kujua utaratibu jinsi ya kujiunga ikiwa ni pamoja na ada anijulishe.

Sehemu ya kukaa si shida kwani ana mjomba wake huko mabibo..
 
Back
Top Bottom