Recent content by Yoldayim

  1. Yoldayim

    JamiiForums Tanzania Mwanza kutamu asikwambie mtu

    Simiyu to Mwanza makoroboi kushop.....dah yale maisha [emoji848].
  2. Yoldayim

    JamiiForums Tanzania Vita ya Azania na Tambaza (1993 - 1994)

    PCB 1 Tambaza 2010-2012 .........nimesoma Tambaza kipindi cha wakati wa vurugu umenipita [emoji276][emoji276][emoji276]
  3. Yoldayim

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kwa yeyote anayeweza niunganisha/kunipa kazi yoyote

    Ongera sana una degree yako na ni Fundi nguo.....ongera kwa kuweka degree pembeni.
  4. Yoldayim

    JamiiForums Tanzania Kero za abiria wa mabasi ya Mwanza

    Wanaotoka Mwanza wanajielewa ndio maana nimeandika ilikuwa ni bahati mbaya tu ......usiombe ukutane na wa ndani ndani huko looh utajikuta safari nzima unatema mate njiani.
  5. Yoldayim

    JamiiForums Tanzania Kero za abiria wa mabasi ya Mwanza

    Nafikiri uliokutana nao ni bahati mbaya tu hasa wanaotoka mjini Mwanza ni wastaarabu.
  6. Yoldayim

    JamiiForums Tanzania Fahamu wakati ambao mwanamke huwa na ashki kali zaidi

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. Yoldayim

    JamiiForums Tanzania Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

    2010-2012 PCB1 Tambaza chini ya mwalimu wa physics Mjuni.
  8. Yoldayim

    JamiiForums Tanzania How I Met My Wife

    Kisa kizuri.
  9. Yoldayim

    JamiiForums Tanzania Uzamiaji Afrika Kusini: Mikasa katika harakati za kuzamia Afrika Kusini kwa njia za panya

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. Yoldayim

    JamiiForums Tanzania Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Hahahahaha
  11. Yoldayim

    JamiiForums Tanzania Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Dah huu uzi una comments nyingi kuliko story yenyewe na scroll down hadi nachoka [emoji36][emoji36][emoji36]
  12. Yoldayim

    JamiiForums Tanzania Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    [emoji91][emoji91][emoji91]
  13. Yoldayim

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya kweli ya maisha yangu

    Hapo ulipomuibia mzee wa watu sweta kwa upande wangu [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
  14. Yoldayim

    JamiiForums Tanzania Simba 5-0 Mtibwa Sugar | VPL | Benjamin Mkapa stadium

    [emoji881][emoji881][emoji881][emoji91][emoji91][emoji91]
Back
Top Bottom