Inaendelea
kipindi najiandaa na safari kurud musoma kiukweli ckupenda kurud Musoma nilijisikia vby sana kuondoka Arusha.Hata washkaji zangu pia walijisikia vby me kuondoka.
Walinizoea sana kwa utani wangu na msaada wangu niliokua nikiutoa pindi ukihitajika.
Before sijasepa nilikua naenda kwenye kanisa fulan hivi la walokole nilikua napotezea muda kwenye kinanda chao.
Safar nili plan niifanye trh 04 December ko nilifnya maandalizi ya safar nilimpigia simu Mchumba wangu tarh mbili kumfahamisha kuwa tarh nne nitakua Musoma.Alifurah akataka nimpeleke zawad nilimuuliza ipi akataka nimpeleke Sweta nikasema asijari.
Nilienda kwanza morombo kwa ndugu yangu nililala huko kesho yake tarh 03 nikarud kisongo kukata tiketi ya bas la kesho tarh 04.kipind narud kisongo nilipitia pale kilombero kumnulia mpenz sweta lake.
Pale stendi ya kilombero kuna sehem wanauza machungwa mengi sasa kwa pembeni yake hapo karbu na vi mgahawa kuna mzee mmoja hivi hua ana uza masweta ya mtumba mazur hatari alafu ni buku tano yako tu.
Nilifika hapo nikakuta masweta ya kutosha nikaanza kuchagua yatakayo nipendeza nilichukua matano sasa ile natoa hela nimlipe mzee wa watu naona yupo busy na robota lilikua chini ya hyo meza.
Nilikua na begi nimelibeba mgongoni nilikua namuita mzee hii hapa hela anajifanya kiziwi ( labda pengine na makelele ya pale stendi )...nilitoa begi nikawa naangalia kama naonwa na watu speed niliweka yale masweta hata kama yule mzee angeniona ningempa hela yake tu.
Lakin ndo hakuniona ko niliondoka natembea taratibu kuelekea kwenye daladala za kwendaa kisongo.Nilifanikiwa kupanda daladala bila watu kunisanukia ckua na majuto hata niliona nime save 25k yangu.
Nilifika kisongo pale stend nika kata ticket la basi la kimotco kwa wale mawakala then nikaenda kupanga nguo zangu ili kesho mapema tu nisepe.
Basi nililochukua lilkua halipiti mbugani ko Musoma nilikua nafika usiku kama saa nne au tatu....cku hyo nililala kwa wale washkaj walionipokea.
Kesho yake niliwai pale kisongo kusubir basi lije, wale mawakala washenz kweli basi lilipita nawaambia mbn basi limepita wanasema sio hilo, mpaka kufika saa mbili basi halijii eti ndo wana ulizana"
lilipita kweli nini"



ilibid wanitafutie basi lingine wakapata ila basi la green apple lilikua halifiki musoma linaishia bunda na lilikua linafika usiku sana.
Ilifika saa tatu karbu saa nne tu ndo basi likaja nikapanda, safar ilikua ndefu na nilikaa siti ya mbele kabisa na mama mmoja hivi alikua ana mtoto ake miaka 2.Japokua safar ilikua ila yule mtoto alinipa furaha sana kalikua ni kajanja sana yan hata hakasumbui kama matoto mengine.
Bunda tulifika saa 8 za usiku alafu kwenye basi tulibaki mimi, demu mmoja hivi nae ni abiria na konda...dereva alienda kulala gest na baadh ya abiria.Sasa kumbe yule konda kumbe alimtongoza yule abiria akatiki na jinsi wasivyo na aibu waliamua kunyanduana mule.
Niliamua kulala kwenye basi sasa niliwai kila siti ya mwisho maana ndo ilikua ina poz zur la kulala...konda alibaki na yule abiria viti vya mbele waliongea muda mrefu kidogo alafu konda akanifuata akanambia "
samahani dogo niko na shemu wako kalale basi pale kwa dereva samahani sana dogo langu m"...ckubisha hata nilichukua zangu langu nikaenda mbele kulala.
Sikutaka kusikia sauti zao ko nilitoa earphone ( nilimuibia ndugu yangu wa morombo ) nikazivaa na kuanza kusikiliza muziki kwa saut ya juu.
Kulipokucha nilipanda coaster za kwenda musoma, na nilifika saa tano musoma maana nilitoka bunda saa tatu na nusu.
Siku fika direct home nilifikia kwanza kwa rafiki angu ( yule tulie kuwa nae kisiwani ) nilimpa sweta moja yalee ambayo nilimuibia yule mzee mengine nikabaki nayo.
nilienda home saa nne za usiku nilifika nikakuta mji ni mchafu maana hakuna mwanafamilia alie kuwa anaishi pale zaid ya dogo mmoja ndo walimpa awe analala.
Nitarejea tena.