Recent content by yohanesy

  1. yohanesy

    JamiiForums Tanzania 30 - 36 years old: An Official Thread

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah
  2. yohanesy

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    2015 mwezi wa 9 dadeki naanza life songea chumba nilijichanganya nilipanga self 25000 godoro mbili na nusu kwa sita nanilikuwa nimelitupachini sikuwa hata nachombo chochote zaidi ya kismart phone changu tecno M3 lakini saivi mambo kwenye mstariii mwanzo haujawahi kuwa...
  3. yohanesy

    JamiiForums Tanzania Napata ndoto za kutisha baada ya kwenda kwa mganga wa kienyeji

    Ngoja waje [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. yohanesy

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye uelewa kidogo na hizi compressor za kuoshea magari!

    Mimi naonaga wajomba wananunua AMEC then wanaweka valv wanaosha magari
  5. yohanesy

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya Tigo vinaisha haraka kuliko vya voda

    Halotel wamoto nyie mm natumia halotel gb 1 inaisha masaaa tu afu natumia Whatsapp, fb, jamij forum na Twitter
  6. yohanesy

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kuandika chochote na kujijibu mwenyewe.

    Nambie buddah
  7. yohanesy

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kuandika chochote na kujijibu mwenyewe.

    Oi mwamba
  8. yohanesy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simkubali Haji Manara na ana Matatizo yake, ila kwa hili la Clatous Chama namuamini 100% na wana Simba SC tusidanganywe na Uongozi wetu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. yohanesy

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa emoji tu!

    [emoji2958][emoji2958][emoji2958]
  10. yohanesy

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Night kalii Sent using Jamii Forums mobile app
  11. yohanesy

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu dawa ya sikio

    Tafuta bangi kavu lowanisha namaji kidogo afu kamulia kwenye sikio linalouma unapona haraka sana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. yohanesy

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuvuta bangi ili kutatua matatizo haya

    Nimecheka kiboyaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. yohanesy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulichukua muda gani kumtoa moyoni Ex wako?

    Nimekumbuka mateso niliyoyapata kumsahau mapenzi yananguvu ila sema saiv siumiagi nisakuwa malaya naanzaga kukusahau kabla ya tendo Sent using Jamii Forums mobile app
  14. yohanesy

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuvuta bangi ili kutatua matatizo haya

    Mkuu mkuu bangi iache tu siku moja kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza tukapewa assignment ya group najicheki mwamba confidence sina na inabidi kupresent kama kesho dadeki nikawaza nafanyaje Mwanangu mmoja kwajina nilikuwa na mwitaga mtoto wa obama akashauri tupige pombe mimi nikamchana...
  15. yohanesy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume Usirogwe kutokufanya haya kwa Mpenzi au Mkeo.Utapata shida sana

    Ndoa au mahusiano hayapimwi kihivi unaweza ukafanya yote naakacheat na bodaboda unaweza ukajua unampga kumnyoosha kumbe ndo sababu yake anatafuta akuache weee acha tu tuishiishi tu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom