Kwa mwenye uelewa kidogo na hizi compressor za kuoshea magari!

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,072
1,697
habar za jioni wakuu, hisikeni na kichwa cha habar tajwa hapo juu...nimekuwa na uelewa mdogo kuhusu hz compressor za kuoshea magari wakati nina uhitaji nazo ..kwa maana ya kwamba nahitaji kununua, sasa maswali yangu kwa mwenye uelewa wa aya mambo.

(1) Jeh! zipo zenye uwezo tofauti?
(2) Zipo za umeme na mafuta au umeme tupu
(3) Zipo zinazotumia umeme na mafuta kwa maana ya dual?

Hivyo bas kwa mwenye ufaham wa hii kitu naomba msaada anijuze ....iliwezekana naomba nifahamu na bei zimekaaje ili niweze kujipanga. aksantem.
 
Ukitaka machine chukua ya umeme bei ni 1.2 ml kwa hii bei utapata machine nzuri sana ila kama pia upo safi zaidi chukua ya 1.5 hii ni kubwa kiasi ila inatumia pipe mbili kwa wakati mmoja kama unaziitaji tutawasiliana...
 
habar za jioni wakuu, hisikeni na kichwa cha habar tajwa hapo juu...nimekuwa na uelewa mdogo kuhusu hz compressor za kuoshea magari wakati nina uhitaji nazo ..kwa maana ya kwamba nahitaji kununua, sasa maswali yangu kwa mwenye uelewa wa aya mambo
(1) jeh! zipo zenye uwezo tofauti?
(2) zipo za umeme na mafuta au umeme tupu
(3) zipo zinazotumia umeme na mafuta kwa maana ya dual ?
hivyo bas kwa mwenye ufaham wa hii kitu naomba msaada anijuze ....iliwezekana naomba nifahamu na bei zimekaaje ili niweze kujipanga. aksantem
Mkuu ww nicheki 0782279095
 
Back
Top Bottom