Msaada wakuu dawa ya sikio

mbwadinho

Senior Member
Jun 29, 2016
180
102
Habari za majukumu wataalam,

Nimekuwa na tatizo kwenye sikio takribani miaka 2 sasa tatizo lilianza kutokea baada ya kupingwa sehemu ya sikio la kushoto na baada ya siku mbili lilitoa damu nyeusi baada ya hapo nikawa nasikia maumivu ndipo nilipotumia dawa ya kudondoshea sikioni baadae likatulia.

Baada kupita muda fulani nikawa sisikii kupitia sikio hili la kushoto hadi leo saa zingine nikiongea naona kama sauti inapitia huku kushoto sikioni kwa siku mbili hizi sipati usingizi kwani sikio kwa ndani kuna mdudu anatekenya kama anataka kutoka nimeweka mafuta ya kuku lakini haisaidii, nimeweka dawa ya kudondoshea kwenye sikio pia haijasaidia kitu.

Naomba msaada kwa mwenye kujua tiba ya hili tatizo asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari,
Nenda hospitali ukamwone daktari bingwa.wa masikio. Tatizo laweza kuwa kwenye mishipa ya fahamu, ngoma au mechanical blockage. Wape wataalamu nafasi wakusaidie.
 
mbwadinho,
Ushauri mzuri kuliko wote ni ule wa kukuomba uende hospital yoyote ile ya rufaa au kama upo dar nenda kawaone CCBRT
 
Kama kuna mtu kasema bangi ni sawa, tafuta bangi kavu ponda ponda changanya na maji, kamulia maji yake yake, kesho na keshokutwa hutasikia maumivu na after keshokutwa utakuwa umepona, nilihangaika sana hospital docta akaniambia umetumia dawa nyingi nenda katafute bange aisee sikuamini hadi nlivyopona...Naongelea Bangi hii hii ambayo serikali hawaitaki...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari za majukumu wataalam,

Nimekuwa na tatizo kwenye sikio takribani miaka 2 sasa tatizo lilianza kutokea baada ya kupingwa sehemu ya sikio la kushoto na baada ya siku mbili lilitoa damu nyeusi baada ya hapo nikawa nasikia maumivu ndipo nilipotumia dawa ya kudondoshea sikioni baadae likatulia.

Baada kupita muda fulani nikawa sisikii kupitia sikio hili la kushoto hadi leo saa zingine nikiongea naona kama sauti inapitia huku kushoto sikioni kwa siku mbili hizi sipati usingizi kwani sikio kwa ndani kuna mdudu anatekenya kama anataka kutoka nimeweka mafuta ya kuku lakini haisaidii, nimeweka dawa ya kudondoshea kwenye sikio pia haijasaidia kitu.

Naomba msaada kwa mwenye kujua tiba ya hili tatizo asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pole kwa maradhi yako ya sikio fuata ushauri wakuu wenzangu usipo pona nione mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako uguwa pole.
 
Habari za majukumu wataalam,

Nimekuwa na tatizo kwenye sikio takribani miaka 2 sasa tatizo lilianza kutokea baada ya kupingwa sehemu ya sikio la kushoto na baada ya siku mbili lilitoa damu nyeusi baada ya hapo nikawa nasikia maumivu ndipo nilipotumia dawa ya kudondoshea sikioni baadae likatulia.

Baada kupita muda fulani nikawa sisikii kupitia sikio hili la kushoto hadi leo saa zingine nikiongea naona kama sauti inapitia huku kushoto sikioni kwa siku mbili hizi sipati usingizi kwani sikio kwa ndani kuna mdudu anatekenya kama anataka kutoka nimeweka mafuta ya kuku lakini haisaidii, nimeweka dawa ya kudondoshea kwenye sikio pia haijasaidia kitu.

Naomba msaada kwa mwenye kujua tiba ya hili tatizo asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaendeleaje?
Kama bado hujapata msaada kuna msaada hapa

Similar Discussions

Back
Top Bottom