Recent content by yohana paschal wa hamisi

  1. yohana paschal wa hamisi

    JamiiForums Tanzania Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

    Pole, inategemea na mwanaume mbn mie huwa wanagonga. Mwaba Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  2. yohana paschal wa hamisi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ni Lotion gani nzuri inayoweza kukinga mionzi ya jua?

    Bei n ngap jee ni special for women na men
  3. yohana paschal wa hamisi

    JamiiForums Tanzania Ni lini serikali itapanga vituo vya kazi kwa walimu wa sayansi na hisabati?

    Mnakumbuka nyie tu sis wa primary tumenyamaza kimya ambapo bils ss nyie hamwezi kupata wanafunzi wa secondary Tena saiv ndo kimya kweli
  4. yohana paschal wa hamisi

    JamiiForums Tanzania Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

    Ni fainali ya kihistoria leo Simba sport Club vs Azam Football Club Mahali: Uwanja wa Amani Tarehe: 13 Jan 2017 Saa 2:15 Usiku => Azam FC mabingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC. 13' Himid Mao anapiga shuti kali kutoka nje ya 18 na kumshinda mlinda mlango wa Simba...
  5. yohana paschal wa hamisi

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Shein aongeza mshahara kwa asilimia 100

    Dk Shein apandisha mishahara kwa asilimia 100 je kwa tz kwa Jpm itakuaje [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji15] [emoji15]?
  6. yohana paschal wa hamisi

    JamiiForums Tanzania Tanzania kungekuwa na Shule za fani mbalimbali

    Cku nyng xn i'm still waitng 4 employment opptnities
  7. yohana paschal wa hamisi

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo.. the truth

    Nitajie jina la hizo filam za maixha baada ya chuo nizchek
  8. yohana paschal wa hamisi

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo.. the truth

    Ni kwel tunakwepo mitaan
  9. yohana paschal wa hamisi

    JamiiForums Tanzania Tanzania kungekuwa na Shule za fani mbalimbali

    Ingekuwa poa sana kama Tanzania kungekuwa Shule za fani mbalimbali mfano fani ya useremala. Mtoto anaanza kusoma uselemala tangu anapokuwa na miaka mitano mpaka anapofika miaka 14 hapo ni fundi kamili kuliko kumaliza madigri kule tunarundikana tu mitaani.
  10. yohana paschal wa hamisi

    JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu ajira za walimu wa shule ya msingi?

    Vip kuhusu ajira za walimu wa primary nawale 4000 wa secondari mbona kama kimya
Back
Top Bottom