Ushauri: Ni Lotion gani nzuri inayoweza kukinga mionzi ya jua?

Kama ambavyo napaka sun lotion usoni hata mwili wangu kwa ujumla lazima niukinge na mionzi mikali ya jua... Kuondoa yale mambo ya kuwa na rangi nyingi zisizoeleweka mwilini. Napaka hii sun lotion asubuhi kabla sijatoka.. Uzuri wa hii hainizuii kutumia lotion yangu ya otentika... Unaanza na lotion yako unayoipenda alafu juu unapaka sun lotion alafu unatoka na kuendelea na shughuli zako huku ngozi ikiwa Salama bila kuunguzwa na jua. (NIMEIPATA HUKO INSTA KWA @maureen.ndrw )
Asantee sana nimenunua tayariii ntapaka
 
Naomba kujua ni lotion gani nzuri ya kukinga mionzi ya jua, jua likiwa kali uso wangu kwenye mashavu nakuwa mwekundu, mi napaka mafuta ya mgando mwili mzima, sasa nimeona nahitaji lotion au mafuta ya kupaka ili ngozi yangu isiharibike.

Tahadhari usinitajie lotion za kujichubua mimi sijichubui na sihitaji,
kama kuna lotion ya kupaka mchana tu niambie au ya kupaka muda wote niambie ni lotion gani nzuri ninunue na nitapata wapi kwa hapa Mwanza.

Asanteni

Ukimuuliza mlemavu wa ngozi hasa mwenye elimu ya juu (ingawaje ni ngumu kumtambua bila kumuuliza au kusikia title yake lakini wapo wenye title kubwa kwenye ngazi za uwaziri) ambaye ukiangalia ngozi yake ni sawa na asiyekuwa mlemavu basi muulize anatumia lotion gani nadhani itakusaidia.

Kitu kingine kula matunda aina yote regularly na mboga za majani kwa wingi lotion tosha bila chemicals ambazo ni artificial; pia usisahau maji ya kunywa ya kutosha.
 
Naomba kujua ni lotion gani nzuri ya kukinga mionzi ya jua, jua likiwa kali uso wangu kwenye mashavu nakuwa mwekundu, mi napaka mafuta ya mgando mwili mzima, sasa nimeona nahitaji lotion au mafuta ya kupaka ili ngozi yangu isiharibike.

Tahadhari usinitajie lotion za kujichubua mimi sijichubui na sihitaji,
kama kuna lotion ya kupaka mchana tu niambie au ya kupaka muda wote niambie ni lotion gani nzuri ninunue na nitapata wapi kwa hapa Mwanza.

Asanteni

Kama wewe ni mweusi yaani Mwafrika nature imetoa kinga nzuri ya kuwa na ngozi nyeusi hivyo hauhitaji kemikali nyingine zilizotengezwa na Binadamu, ila kama wewe una ngozi nyeupe yaani asili yako ni northern hemisphere basi unahitaji kemikali maalumu ili kujikinga na mionzi ya jua, vinginevyo kwa watu mweusi hatuhitaji!
 
Shukran nimekupata
 
Zipo Lotion maalum za kukinga athari za mionzi ya jua, tatizo hazipatikani kwa urahisi hapa Tanzania na zikipatikana bei huwa ni kubwa. Huwa zipo za strength tofauti tofauti sana. Hapo pia panahitaji umakini au ushauri kutoka kwa mtaalam wa Afya kwenye masuala ya ngozi.

Kwa kukurahisishia tumia lotion hii NIVEA LOTION SPF 50+ hii inapatikana kwenye Maduka ya dawa mengi hususani yale makubwa na hata baadhi ya super markets.
 
Nunua pama la cowboy na mwamvuli utaokoa pesa nyingi itasaidia sana
Haswaa. Kofia pana(Cowboy hat) ndio jibu zuri sana. Mafuta(Lotion) ni hatua ya mbali sana, yatumike kama mbadala tu kama hatua zingine za kuepuka mwangaza mkali wa jua kali zikishindikana.
 
Zipo Lotion maalum za kukinga athari za mionzi ya jua, tatizo hazipatikani kwa urahisi hapa Tanzania na zikipatikana bei huwa ni kubwa. Huwa zipo za strength tofauti tofauti sana. Hapo pia panahitaji umakini au ushauri kutoka kwa mtaalam wa Afya kwenye masuala ya ngozi.

Kwa kukurahisishia tumia lotion hii NIVEA LOTION SPF 50+ hii inapatikana kwenye Maduka ya dawa mengi hususani yale makubwa na hata baadhi ya super markets.
Shukrani sana
 
Back
Top Bottom