Maisha baada ya chuo.. the truth

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,191
7,318
hii video imenigusa sana ya Maisha baada ya chuo kikuu ... ukweli mchungu aliouongea jamaa.

n hapo ni usa.. ambapo ni nchi ya viwanda yenye mahela kibao....

video no 2 ni japan.. napo graduates wan stress za ajira

video no 3 ni UK aka uingereza napo ajira ni ishu sana
 
China walijua hili tangu mwanzo..wanachofanya wao wanapeleka zaidi wanafunzi kwenye vocational studies kuliko chuo kikuu. Skills ndio kitu muhimu dunia ya sasa..ndio sababu viwanda vingi vya kimarekani vinaamishiwa China..kwanini? Ni kwa sababu ya cheap skilled labour! Maana kama ni cheap labour afrika wako kibao tu ila sio skilled...USA kila kijana ana degree wanataka kazi za Tai na suit..hapo sasa ndio unemployment inapozaa na majanki wa USA and worldwide.

Ndio maana wana cheap skilled labour wengi zaidi ukilinganisha na nchi zingine ambazo zinasisitiza zaidi degree ilhali hakuna kazi za kutosha zinazohitaji watu wenye degrees. Hatimaye unemployment haiepukiki.
 
Yah hili ni suala ambayo liko wazi kabisa ni muhimu wewe kama mwanafunzi kulifahamu hili ili hata ukimaliza chuo uwe na akili iliyopevuka na kuchangamkia fursa bila kuangalia elimu yako
 
Sometimes Unawaza Kama VileUlipoteza muda Kusoma ungekuwa Mtaani May Be Ungekuwa Mbali zaidi.
Ni kweli ndugu aisee mtu unakuta umemaliza hadi degree mbili lakini hamna cha maana hasahasa kuhusiana na fani aliyosomea na hili ndo pia linapelekea tuwe na watu wasioweza kijiajiri kwa sababu hawana maarifa ya kuwawezesha kijiajiri kwa sababu walisoma kwa kukariri na kufaulu mtihani basi vitendo zero
 
wachina ni nomaaa wajanja sana

Back
Top Bottom