Vipi kuhusu ajira za walimu wa shule ya msingi?

Vipi kuhusu ajira za walimu wa shule ya msingi?

Uliambiwa zile 4000 mchakato wake ni miezi mitatu kuanzia Desemba mwishoni. Na miezi miwili iliyotangazwa kusitisha ajira si uliiona! Sasa hapa unaambiwa ni mitatu.
Hata mwakani (2018) tunaweza kufika.
 
Tusahau kuhusu ajira mkuu nchi hii imekuwa Jehanamu.! Mwezi may 5 certificate na diploma wengine wanatoka college
 
hii nchi ya viwanda subiri tujenge viwanda utapata ajira yako.
 
HAKUNA AJIRA JIONGEZE KIVINGINE TU KUKAA KUSUBIRI NI SAWA NA KUSUBIRI EMBE CHINI YA MNAZI
 
Back
Top Bottom