Recent content by Yassin Madiwa

  1. Y

    Kikwete safari tena, Marekani na Botswana

    Again irresponsible use of available resources,Hii ni pamoja na rasilimali watu lots of billion are spent bila huruma jamani mungu awape uwezo viongozi wetu walau wasikilize kilio cha wananchi, Kwa kipindi hiki angebaki nchini akafanya mornitoring ya viongozi wake walau ingelisaidia taifa
  2. Y

    New Cabinet: The Alternative!

    Wile that is such exellent thought: Lakini kumbuka nchi yetu watu hupeana vyeo sio kwa uwezo bali kishikaji, Tazama wale wote walioshindwa katika masunduku ya kura walizawadiwa ukuu wa wilaya ama mkoa na nafasi nyingine nyeti ikiwepo kuwakilisha taifa letu nje kama mabalozi huku wakiwa...
  3. Y

    Mwenyekiti BAVICHA Taifa ndani ya Same

    Hongera sana for such faster reaction, Tunawatakia kila la heri katika juhudi hizi za ukombozi wa pili wa taifa letu. Wakati same mkiwa mko yayari kupoke M4C hapa wilaya ya Lushoto tunahitaji operation hii kwani watu wako tayari wanasubiri support ya uongozi wajuu CDM
  4. Y

    Msimamo wa CCM kuhusu tuhuma za kuhusika na mauaji ya wana-CHADEMA

    Nape iweje utoe tamlo leo wakati mauaji yalitokea kipindi kirefu ama kwa vile sasa yamefikia hatua ya kutisha?Iweje uisememee serikali? je ni kwa vile unatishwa na wimbi la wanaokimbia CCM?You can not fool people around, kumbuka watu wako mtaani na wanapata vitisho, lakini jua fika you cant stop...
  5. Y

    Msimamo wa CCM kuhusu tuhuma za kuhusika na mauaji ya wana-CHADEMA

    Nape iweje utoe tamlo leo wakati mauaji yalitokea kipindi kirefu ama kwa vile sasa yamefikia hatua ya kutisha?Iweje uisememee serikali? je ni kwa vile unatishwa na wimbi la wanaokimbia CCM?You can not fool people around, kumbuka watu wako mtaani na wanapata vitisho, lakini jua fika you cant stop...
  6. Y

    Msimamo wa CCM kuhusu tuhuma za kuhusika na mauaji ya wana-CHADEMA

    Nape iweje utoe tamlo leo wakati mauaji yalitokea kipindi kirefu ama kwa vile sasa yamefikia hatua ya kutisha, Iweje uisememee serikali? je ni kwa vile unatishwa na wimbi la wanaokimbia CCM,You can not fool people around, kumbuka watu wako mtaani na wanapata vitisho, lakini jua fika you cant...
  7. Y

    Top Richest People in Tanzania

    How about Rostam Aziz is he not amongst the list?
  8. Y

    AG: Ufafanuzi juu ya uteuzi wa wabunge na kupewa uwaziri

    AG usijaribu kuwapiga chenga la macho wanzania wa leo, wewe pia umeapa kuitetea na uilinda katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Iweje usifanye pia uchambuzi wa Wizara aliyopewa Hosein mwinyi ambayo sio ya Muungano? Hapa wamechemka, kwanini utolee maelezo hoja moja wakati kuna Hoja mbili...
  9. Y

    Mawaziri 6 sasa mikononi mwa TAKUKURU!

    Ona Wile, you have no room down there, Fulsa ipo wazi if you fighty nje ya system, wengi wamejaribu na kushindwa, ni sawa kabisa na pia hata mimi naheshima wazo lako na kwa utawala wa sheria ingeliweza kupitia katika stage hiyo,Ok fine fanya utachoamini and wish you all the best, lakini uko...
  10. Y

    Mawaziri 6 sasa mikononi mwa TAKUKURU!

    Hakuna kitu kitafanyika kwa hawa, Takukuru Tanzania? walifanya nini kwenye watuhumiwa wa eppa, rada, richimond na wenginewo, Ni bora ukabidhi shamba lako kwa nyani wenye jaa kuliko wale nyani walioshiba, yule mwenye njaa akakula kila kitu hata gunzi mwisho wa siku ameshiba walau akakuachia kitu...
  11. Y

    Mawaziri 6 sasa mikononi mwa TAKUKURU!

    I am impresed na Hoja za William,Takini wile hapa unadhani hata wakipelekwa mahakamani kuna kitu gani kitafanyika dhidi ya Kushinda Kesi,Huenda kwa kua muda mwingi uko nje ya nchi na kutojua what is going on ndani ya nchi yetu,Luhanjo yulo wapi, Msabaha, na wote waliotajwa katika report teule ya...
  12. Y

    Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

    Hiindo Vc ya Muhongo: source Jamii forum Candidate for the post of Director General of UNESCOProfessor Sospeter Muhongo – A RésuméProfessor Sospeter Muhongo is a Tanzanian, born in Musomatown, Tanzania on 25.06.1954. He is married to Bertha (BSc,MSc, MBA), has a son (Rukonge, BA Law/LLB...
  13. Y

    Live chanel 10; UTEUZI WA MBATIA UNATIJA KWA TAIFA

    Mara nyingi Uteuzi si hoja hasa ukizingatia uteuzi wa kuwa mbunge, tuna wabunge zaizi ya mia tatu wanatija gani kwa taifa letu badala ya kuwa reber stamp, basi ni vema tuone je akiteuliwa kua waziri ataleta tija? na je Katiba inamrushusu raisi kuunda baraza la wawaziri mseto na je Kama kisheria...
  14. Y

    No half Revolutions: Resignation or dissolution is not enough; The parliament should go too

    Maajabu, but seem like wazo zuri, if a man want fire then give him a fire but if a man wants peace give him peace, kujiuzuru kwa serikali ni peacefully meanz lakini kama hawataki then what next, Hii inawezekana kwa Nguvu ya umma. Do we all accept kwamba huu ni upepo unapita? if not why should be...
  15. Y

    Hasira hazijatosha, haiwezekani JK adharau na sisi tukae kimya..!

    Hata katika kuliahirisha bunge waliosema sioooo walikua wengi kuliko waliosema ndiooo ilikuaje walisema sioo wasikubaliwe ili bunge liendeleee: Maajabu ya kubaka demokrasia Tanzania
Back
Top Bottom