Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,168
Heshima mbele wakuu,
mkuu wa nchi atavunja recodi tena baada ya ile ya miezi miwili iliyopita aliyotoka ulaya na kuunganisha Botswana moja kwa moja,safari hii ataelekea zake kwa mkuu sana Obama na baada ya hapo ataunga moja kwa moja kwa mkuu mwingine Ian khama wa Botswana,Rais khama amealika maraisi kadhaa kuhudhuria mkutano wa global worming,lakini kwa nchi zingine imeonekana mawaziri wenya wizara zinazohusika na mambo hayo wahudhurie kuwakilisha marais wao,hapa kwetu mkuu mwenyewe ataongoza timu ya watu 47 kuelekea kwenye mkutano huo wa aina yake!
Nnasisitiza kama yupo mwenye taarifa sahihi atuwekee safari alizowahi kusafiri huyu bwana Kikwete ili tuzijue gharama ni kiasi gani,kwa taifa masikini kama hili la Tanzania.