Marunda
Senior Member
- Mar 3, 2010
- 121
- 29
- Hapana atleast tutawaonyesha watawala kwamba we have an idea ya kwa nini tunawakosoa na baraza jipya, kwa mfano tuwaambie kama sio Pinda, nani kwa sasa anafaa kuliko yeye na amefanya nini hapo alipo cha kutufanya tuseme anafaa kuliko Pinda, ni ombi tu since tumeshambulia sana baraza jipya!
- Kwamba itasaidia nini? Then we need to close this JF's shop, kwani tunasaidia nini hapa anyways inaonyesha ni dalili ya kukata sana tamaa mkuu wangu, tusichoke Roma haikujengwa siku moja!
William.
Usituchore. Hata wiki mbili baraza halina. Ni vema kusubiri na kuona wanafanya nini. Tusikurupuke. Umekosa cha kuandika.
Wanavyosema kama ukipatiwa ukuu wa wilaya itakuwa ni hasara kwa taifa ideas zako mbofumbofu tuu. thats why ulikosa ubunge wa EAC the MPs were very right!