Live chanel 10; UTEUZI WA MBATIA UNATIJA KWA TAIFA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live chanel 10; UTEUZI WA MBATIA UNATIJA KWA TAIFA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by William Mshumbusi, May 4, 2012.

 1. William Mshumbusi

  William Mshumbusi JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 874
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Changia kwa kupiga simu 022 211 6348
   
 2. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watanzania bwana, utawezaje kupima tija ya uteuzi kabla hata aliyeteuliwa hajaanza kazi!!!! Kwa nini tusisubiri mteuliwa aingine mzigoni then tuone mchango wake katika kuwaletea watanzania maendeleo!!!
   
 3. Y

  Yassin Madiwa Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi Uteuzi si hoja hasa ukizingatia uteuzi wa kuwa mbunge, tuna wabunge zaizi ya mia tatu wanatija gani kwa taifa letu badala ya kuwa reber stamp, basi ni vema tuone je akiteuliwa kua waziri ataleta tija? na je Katiba inamrushusu raisi kuunda baraza la wawaziri mseto na je Kama kisheria rais anaruhusiwa kuunda maraza la mawari mseto alikua wapi na mwisho Kwan Ismail Jusa alipoteuliwa alileta tija gani kwa taifa maswali mengi kuliko majibu, Lakini kama mheshimiwa Mbatia atapewa wizara na akaisimamia vizuri na kutatua changamoto zinazolikabili taifa letu basi tutaona huyu anatija kwa taifa letu lakini kwa sasa kuwa tu mbunge hatuwezi kupima endapo ni tija ama si tija, tunajua pia anamchango mkubwa katika medali za siasa la taifa letu lakini atafanya nini pale watakapopiga kura za sio ama ndiooo ndani ya wabunge wengi mafidadi? Madiwa Lushoto
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  tunazijua tabia zake
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Very soon Lipumba naye atateuliwa kuwa mbunge.
   
 6. S

  SokoroDar Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hee ! kumbe tunaangalia tabia za watu na sio uwezo wa kufanya kazi ! how abt Madoctor na maprof. ambao wako vizuri kitaaluma na nje ya kazi zao ni walevi wanaotembea na mabar meids !
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wateue wa vyama vyote hivyo, lakini wasiguse mtu wa cdm!...hatutaki vyeo vya hongo!
  Hivi mtu yeyote anaweza kusema Mbatia ana added advantages gani kuwazidi watu kibao wanaoonekana kufanya kazi zinazoonekana?
  Katiba mpya iweke vigezo vya rais kuteua Mbunge wa viti maalum, vinginevyo tutakuwa na Bunge la watu wa ajabu sana!
   
 8. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Teuweni tu huyo mbatia Kawe walimkataa yani Kikwete na watu waliokataliwa na wananchi ni damu damu!
   
Loading...