Recent content by YanguHaki

  1. YanguHaki

    Signature kwenye cheque ya kutoa hela CHADEMA ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi?

    Upuuzi huu gani huu signatories wa CCM au NCCR ni nani?
  2. YanguHaki

    CCM; Chama KATILI Kuwahi kutokea..

    Sijakuelewa ukimwita mtu padre ulifikiri sio udini bali ni nini? Kweli Dr. alikuwa padre sasa kumwita padre ni kutaka kusisitiza huo upadri kwani kwa sasa hafanyi kazi ya upadri. Na huo ni udini!
  3. YanguHaki

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Kadi elfu nne kwa staili huwezi kuzipata! Sidhani kama hata thelasini zipo! Pia nimeona bendera kama nne hivi. Lakini huu ni mchezo wa kuigiza tu. Kwa njaa hii kila kitu kinawezekana!
  4. YanguHaki

    Nape: uzalendo hauvaliki!

    Kauli mbiu yako ya "vua gamba, vua gwanda, vaa uzalendo" sio sanifu. Kwanza umeitohoa kutokana na ya Chadema ya "vua gamba, vaa gwanda" Uzalendo ni kitu kisichoonekana bali matokeo yake ndio yanayoonekana. Uzalendo ni mawazo ambayo hujazwa kwa watu kupitia mafundisho ya mara kwa mara ya watu...
  5. YanguHaki

    NAPE awaonya CHACHAMUDA, Maroli ya CCM yapo tayari kubeba watu!

    Hakika CCM haijatulia kabisa! Wamepoteza dira kama alivyosema Horace Kolimba (RIP). Sasa wanaendeshwa puta na Chadema! Chadema wamekuja na M4C wakiwa na slogan " vua gamba, vaa gwanda". Juzi juzi Nape akaiga na kuanzisha "vua gamba, vua gwanda, vaa uzalendo". Hakuna ubunifu hapo bali uigaji...
  6. YanguHaki

    Viongozi: sifa haziji kwa staili hii...

    Kumekuwa na wimbi la mawaziri na viongozi wa taasisi mbali mbali nchini kufanya maamuzi ya kukurupuka kwa lengo la kutaka kujipatia umaarufu na kujihakikishia nafasi za uongozi. Kila tasisi na wizara utasikia huyu na yule kasimamishwa kazi bila hata taaratibu za kazi kufuatwa. Jamani utawala...
  7. YanguHaki

    Neville Meena ametutusi kuita Tanganyika nchi ya "KUFIKIRIKA"

    Neville Meena hana kosa lolote kwani ameongea ukweli wake. Kimsingi yeye anaitambua Tanzania na sio Tanganyika. Suala hili linavurugwa kabisa na katiba yenyewe ambayo haiitamki Tanganyika bali Tanzania Bara. Sasa Tanzania Bara ni nchi gani kihistoria?
  8. YanguHaki

    Arusha sasa ni Salama - Kikwete

    Too confusing! Kulikuwa na machafuko?
  9. YanguHaki

    SHIBUDA: People's Power ni Kauli Mbiu ya TANU

    Huyo ndio mgombea urais! Ni bora akagombea huko huko anakojua! Make sioni kama anaweza kupata hata kura 50,000 Tanzania nzima!
  10. YanguHaki

    Nia Yangu ya Kumfungulia Mashtaka Pius Msekwa hapa Nebraska

    Ok ngoja tuone! Mambo hayo!
  11. YanguHaki

    Polisi igeni Misri na Tunisia...

    Jeshi la Polisi nchini limekosa utaalamu wa namna ya kushughulikia mikusanyiko mikubwa na maandamano makubwa hapa nchini. Mara nyingi huibuka na hadithi ambazo haziingii kwenye akili ya mwananchi wa kawaida. Kuzuia maandamano, kwa upeo wangu, ni kukiri kushindwa hasa pale ambapo sababu...
  12. YanguHaki

    Tunaichukia CCM but CHADEMA wakishachukua nchi tutalia na kusaga meno...

    Sikushangai ndugu yangu najua hayo ni matokeo ya "mental slavery" chini ya mfumo fulani wa uongozi kwa muda mrefu. Umepoteza uwezo wako wa kufikiri kwa kuwa umejazwa hofu na kutojiamini kwa muda mrefu. Pole sana. Ila baadae ya utakuwa huru. Na fikra zako zitakuwa sawa!
  13. YanguHaki

    Nation Media, Tunaomba NTV ya Tanzania

    Shirika la habari la Nation Media la Kenya nalikubali sana kwa weledi wake kwenye tasnia ya habari katika jumuiya ya Afrika Mashariki. Ninachoshangaa ni kwa nini hatuna TV inayomilikiwa na shirika hilo hapa nchini kama Kenya na Uganda . Ombi maalum kwa Tido Mhando ni kutuhakikishia kuna kituo...
  14. YanguHaki

    Mshangao: TBC chombo cha watanzania?

    Kauli mbiu ya "Ukweli na uhakika" ameondoka nayo Tido Mhando!
  15. YanguHaki

    CCM wahofia mkutano wa CHADEMA, wadai kuna mamluki wameandaliwa kuhadaa umma

    Mbona hii story imekaa kipropaganda zaidi ya ukweli? Inataka kujenga hisia wanaovua gamba ni watu waliopangwa kufanya hivyo na CDM ijapokuwa ukweli unajulikana kwamba kwa sasa watu wameichoka SISIEM. Jambo linalonitia shaka ni idadi ya hao vijana. Kwa kuwa CDM wanataka kuuaminisha na...
Back
Top Bottom