NAPE awaonya CHACHAMUDA, Maroli ya CCM yapo tayari kubeba watu!

Mbbona mnatutenga watu wa arusha,,nape hii mikutano nasisi ifanyike kwetu
 
Mkuu kuandaa usafili ni kawaida sana katika mikutano, moja ya benefit ni time management maana wahusika wanafika kwa wakati! pili mkuu wangu, tishio la makondakta lazima lichukuliwe kwa tahadhari, kwa hiyo haiwezekani chama kikategemea daladala ambazo zimeazimia kugoma. Mkuu wangu huoni kama kuna sababu ya msingi ya kutafuta usafili mbadala hapo?

sasa kama akilli zako zinafanya kazi hujiulizi kwa ninim makonda wawakataze watu wa ccm kupanda daladala zao?
Ninyi kwa kung'ang'ania yal e watu wasoyataka ndo kunako waangusha.
 
Mkuu nadhani blog sio kitu cha siri.. Naomba utuwekee jina la blog au link..
Asante!
hiv kwa leo unategeme ni nani wa kumdanganya kua kuwasafirisha watu wa malori ni kuwaudishia fedha zao?

je? unataka chadema wawasafirishe watu kwa malori kama ninyi? kama hawakuwasafirisha na wakafurika jangwani je
wangewasafirisha ingekuaje?
 
CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HAHARI:
Tarehe 9/6/2012:

Wote mnatambua kuwa leo ni mkutano wetu pale Jangwani,

Napenda nichukue fursa hii kuwaeleza mambo muhimu, ya kufanya na yaliyojitokeza jana!

Wenzetu wa chama cha makonda wa mkoa wa dar es salaam wameamua kuwazuia wanachama wetu kutopanda magari yao wakiwa na sare za chama tawala, hili si jambo jema na tunalilaani vikali!

Ninawasihi CHACHAMUDA waache kutafuta ugomvi na serikali, kuwazuia kupanda daladala watu waccm ni kinyume cha sheria za nchi

Baada ya hapo tumeamua kuweka utarati wa wanachama wetu kufika mkutanoni ambapo tutawapa usafiri!

Maroli ya kubeba wanaccm yapo tayari:

kimara, Ukonga, Kigamboni,Mbagala,Tegeta, na kwingneko,

Chama kinahela hivyo kukodi watu sio dhambi tunawapa usafiri wa kuja na kurudi sisi tunarudisha hela kwa wananchi, wakati wenzetu chadema wao wananyang'anya wananchi masikini hela zao,

Tuna siri nzito za wapinzani, tutazimwaga hapa zote, tutadili na upinzani tu maana uhakika wa kuendelea kushika dola upo!

CCM ni taasisi kubwa haimtegemei mtu wala kikundi, hatutamfukuza mtu, ila shughuli iliyo ndani ya chama ndio itakayomkimbiza mtu.

TWangapi waliopita ccm na bado chama kipo? Kuondoka kwa mtu mmoja hakutakiangusha chama, aliondoka baba wa taifa na chama bado kipo.

Chama kikishindwa uchaguzi wa 2015 mimi nipelekwe jela kwa kifungo cha maisha bila kuisumbua mahakama, yani nitoke lumumba moja kwa moja Segerea

Mwisho nawaomba wote mtakaokosa usafiri pandeni daladala njoo jangwani, chakula na vinywaji vitakuwepo bila kusahau bendi yenu ipo!

Nape M. Nnauye

Chanzo: Moja ya blogu za ccm:

Stick and carrot technique!! Bila hiyo hamuendi???? Ndo zenu kutumia umasikini, ujinga na njaa za wananchi kwa manufaa yenu!!! But thank God that your days are numbered!! Magamba nyie!!!
 
Mimi nilichofurahia kwenye taarifa ya Nape ni ahadi ya ubwabwa na mziki. Kwa hayo mawili sitakosa kuhudhuria maana kwangu maisha ni magumu ubwabwa mpaka siku ya xmas.
 
Tanzania's traffic law prohibits the use of lorries to ferry passengers. CCM supporters using those lorries solicited by Nape they do so at their own risk
 
Stick and carrot technique!! Bila hiyo hamuendi???? Ndo zenu kutumia umasikini, ujinga na njaa za wananchi kwa manufaa yenu!!! But thank God that your days are numbered!! Magamba nyie!!!

Hawana uwezo wa kuwaita watu bila kuwapa rushwa ya vyakula na usafiri
 
Hii statement ya Nape inazua maswali na wasiwazi mkubwa,

Kwenye red: Mkutano wa Jangwani ni wa serikali au wa chama cha siasa? Nape anawatisha Makondakta kama serikali au kama msemaji wa chama cha siasa?

Lakini kubwa lililonistua ni hapo kwenye blue; Nape anasema kuondoka kwa mtu mmoja hakutakiuangusha chama na hivyo kuondoka kwa Baba wa Taifa hakukuleta madhara kwa chama. Sijui nitumie maneno gani lakini ninachotaka kuuliza, Nape anaweza kuwaambia watanzania nini hasa kilimuondoa Baba wa taifa? Kwa maneno ya Nape ni kwamba CCM walijua baba wa taifa anaondoka na wakaona ni sawa tu maana hakutaleta matatizo kwa chama? Nani mwingine atafuatia?

Naungana na wewe mkubwa. Navyojua mimi Baba wa taifa kama aliondoka CCM basi hakuondoka kwa ridhaa yake mwenyewe....... kwa maana nyingine "ALIONDOLEWA"!! Damn them!!!
 
CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HAHARI:
Tarehe 9/6/2012:

Wote mnatambua kuwa leo ni mkutano wetu pale Jangwani,

Napenda nichukue fursa hii kuwaeleza mambo muhimu, ya kufanya na yaliyojitokeza jana!

Wenzetu wa chama cha makonda wa mkoa wa dar es salaam wameamua kuwazuia wanachama wetu kutopanda magari yao wakiwa na sare za chama tawala, hili si jambo jema na tunalilaani vikali!

Ninawasihi CHACHAMUDA waache kutafuta ugomvi na serikali, kuwazuia kupanda daladala watu waccm ni kinyume cha sheria za nchi

Baada ya hapo tumeamua kuweka utarati wa wanachama wetu kufika mkutanoni ambapo tutawapa usafiri!

Maroli ya kubeba wanaccm yapo tayari:

kimara, Ukonga, Kigamboni,Mbagala,Tegeta, na kwingneko,

Chama kinahela hivyo kukodi watu sio dhambi tunawapa usafiri wa kuja na kurudi sisi tunarudisha hela kwa wananchi, wakati wenzetu chadema wao wananyang'anya wananchi masikini hela zao,

Tuna siri nzito za wapinzani, tutazimwaga hapa zote, tutadili na upinzani tu maana uhakika wa kuendelea kushika dola upo!

CCM ni taasisi kubwa haimtegemei mtu wala kikundi, hatutamfukuza mtu, ila shughuli iliyo ndani ya chama ndio itakayomkimbiza mtu.

TWangapi waliopita ccm na bado chama kipo? Kuondoka kwa mtu mmoja hakutakiangusha chama, aliondoka baba wa taifa na chama bado kipo.

Chama kikishindwa uchaguzi wa 2015 mimi nipelekwe jela kwa kifungo cha maisha bila kuisumbua mahakama, yani nitoke lumumba moja kwa moja Segerea

Mwisho nawaomba wote mtakaokosa usafiri pandeni daladala njoo jangwani, chakula na vinywaji vitakuwepo bila kusahau bendi yenu ipo!

Nape M. Nnauye

Chanzo: Moja ya blogu za ccm:

Daah Nape unaongeza AHADI hewa nyingine ya kutoka Lumumba hadi SEGEREA JELA!
Acha kimkwala mbuzi dogo! Hata ng'ombe ukimchinja anapiga mkwala na teke, lakini KIFO dhahiri! wee huoni watu wamepinda kinoma?
 
Nape; Msisahau kupitisha hayo malori kwenye shule za msingi zote za Dar, ili kuongeza idadi ya watu. Si mmewaambia kuwa leo shule ipo pamoja na ubwawa wa bure!
 
1.jpg

Huu ni moja wa msafara wa kwenda Jangwani leo
 
Nashindwa kuelewa kama kweli hilo tangazo limetoka kwa Nape, mwambieni arudi shule. Amepataje cheo kikubwa na hawezi kusema kitu chenye manufaa kwa jamii na CCM yake. Pole Nape unsikitisha unatakiwa kurudi shule ukasome Public Relations ili ujifunze kuwasiliana na watu.
 
CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HAHARI:
Tarehe 9/6/2012:

Wote mnatambua kuwa leo ni mkutano wetu pale Jangwani,

Napenda nichukue fursa hii kuwaeleza mambo muhimu, ya kufanya na yaliyojitokeza jana!

Wenzetu wa chama cha makonda wa mkoa wa dar es salaam wameamua kuwazuia wanachama wetu kutopanda magari yao wakiwa na sare za chama tawala, hili si jambo jema na tunalilaani vikali!

Ninawasihi CHACHAMUDA waache kutafuta ugomvi na serikali, kuwazuia kupanda daladala watu waccm ni kinyume cha sheria za nchi

Baada ya hapo tumeamua kuweka utarati wa wanachama wetu kufika mkutanoni ambapo tutawapa usafiri!

Maroli ya kubeba wanaccm yapo tayari:

kimara, Ukonga, Kigamboni,Mbagala,Tegeta, na kwingneko,

Chama kinahela hivyo kukodi watu sio dhambi tunawapa usafiri wa kuja na kurudi sisi tunarudisha hela kwa wananchi, wakati wenzetu chadema wao wananyang'anya wananchi masikini hela zao,

Tuna siri nzito za wapinzani, tutazimwaga hapa zote, tutadili na upinzani tu maana uhakika wa kuendelea kushika dola upo!

CCM ni taasisi kubwa haimtegemei mtu wala kikundi, hatutamfukuza mtu, ila shughuli iliyo ndani ya chama ndio itakayomkimbiza mtu.

TWangapi waliopita ccm na bado chama kipo? Kuondoka kwa mtu mmoja hakutakiangusha chama, aliondoka baba wa taifa na chama bado kipo.

Chama kikishindwa uchaguzi wa 2015 mimi nipelekwe jela kwa kifungo cha maisha bila kuisumbua mahakama, yani nitoke lumumba moja kwa moja Segerea

Mwisho nawaomba wote mtakaokosa usafiri pandeni daladala njoo jangwani, chakula na vinywaji vitakuwepo bila kusahau bendi yenu ipo!

Nape M. Nnauye

Chanzo: Moja ya blogu za ccm:

Nilikuwa nakukubali kwa mabandiko yako humu JF toka kipindi cha hukumu ya John Mnyika...lakini leo nimekuweka kundi la Udaku.
 
Utakuwa unajipunguzia ponti 3 muhimu wewe mkuu, mimi nimeleta taarifa kama ilivyo au ulitaka niandike mimi?

Mimi sio mwana ccm wala shabiki bali mjumbe tu wa ujumbe huu kwenu!

Au nikuulize mjumbe huuawa?
 
Hakika CCM haijatulia kabisa! Wamepoteza dira kama alivyosema Horace Kolimba (RIP). Sasa wanaendeshwa puta na Chadema!
Chadema wamekuja na M4C wakiwa na slogan " vua gamba, vaa gwanda". Juzi juzi Nape akaiga na kuanzisha "vua gamba, vua gwanda, vaa uzalendo". Hakuna ubunifu hapo bali uigaji usio na kifani kiasi ya watu wengine kuhoji kwamba ukivua na gwanda basi mtu atabaki uchi!
Chadema ilifanya mkutano mkubwa Jangwani juzi tu nao CCM nao wanafanya leo kwa kutumia kila mbinu eti mkutano uwe mkubwa kushinda wa CDM. Huu ni uwendawazimu mwingine! Leteni maisha bora kwa watanzania. Hakuna haja ya mikutano. Watu wamekata tamaa. Wamechoka. Watu wanaifuata CDM kwa kuwa wanaona kuna matumaini kule.
Ninavyoona bure mnajisumbua. Ni mara kumi mngefanya mkutano wa watendaji kuona namna ya kutatua matatizo yanayowakabili wananchi.
Sioni tofauti yenu na mwanafunzi anayefanya udanganyifu kwenye mtihani. Hakusoma wala kujiandaa lakini anajisifia ushindi katika mtihani!
Siasa za namna hii zinakichimbia chama kaburini. Mtakuja kujua haya wakati kumeshakucha.
Wasalaam,
 
CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HAHARI:
Tarehe 9/6/2012:

Wote mnatambua kuwa leo ni mkutano wetu pale Jangwani,

Napenda nichukue fursa hii kuwaeleza mambo muhimu, ya kufanya na yaliyojitokeza jana!

Wenzetu wa chama cha makonda wa mkoa wa dar es salaam wameamua kuwazuia wanachama wetu kutopanda magari yao wakiwa na sare za chama tawala, hili si jambo jema na tunalilaani vikali!

Ninawasihi CHACHAMUDA waache kutafuta ugomvi na serikali, kuwazuia kupanda daladala watu waccm ni kinyume cha sheria za nchi

Baada ya hapo tumeamua kuweka utarati wa wanachama wetu kufika mkutanoni ambapo tutawapa usafiri!

Maroli ya kubeba wanaccm yapo tayari:

kimara, Ukonga, Kigamboni,Mbagala,Tegeta, na kwingneko,

Chama kinahela hivyo kukodi watu sio dhambi tunawapa usafiri wa kuja na kurudi sisi tunarudisha hela kwa wananchi, wakati wenzetu chadema wao wananyang'anya wananchi masikini hela zao,

Tuna siri nzito za wapinzani, tutazimwaga hapa zote, tutadili na upinzani tu maana uhakika wa kuendelea kushika dola upo!

CCM ni taasisi kubwa haimtegemei mtu wala kikundi, hatutamfukuza mtu, ila shughuli iliyo ndani ya chama ndio itakayomkimbiza mtu.

TWangapi waliopita ccm na bado chama kipo? Kuondoka kwa mtu mmoja hakutakiangusha chama, aliondoka baba wa taifa na chama bado kipo.

Chama kikishindwa uchaguzi wa 2015 mimi nipelekwe jela kwa kifungo cha maisha bila kuisumbua mahakama, yani nitoke lumumba moja kwa moja Segerea

Mwisho nawaomba wote mtakaokosa usafiri pandeni daladala njoo jangwani, chakula na vinywaji vitakuwepo bila kusahau bendi yenu ipo!

Nape M. Nnauye

Chanzo: Moja ya blogu za ccm:

Daah Nape unaongeza AHADI hewa nyingine ya kutoka Lumumba hadi SEGEREA JELA!
Acha kimkwala mbuzi dogo! Hata ng'ombe ukimchinja anapiga mkwala na teke, lakini KIFO dhahiri! wee huoni watu wamepinda kinoma?
 
nape acha utoto wa kijinga wewe,kwani usafiri wetu hautatosha mpaka ubwatukie daladala.
angalieni mtapasuka msamba mambo ya kuiga.
 
Back
Top Bottom