CCM; Chama KATILI Kuwahi kutokea..

CCM; Chama KATILI Kuwahi kutokea..

Sijakuelewa ukimwita mtu padre ulifikiri sio udini bali ni nini? Kweli Dr. alikuwa padre sasa kumwita padre ni kutaka kusisitiza huo upadri kwani kwa sasa hafanyi kazi ya upadri. Na huo ni udini!
Kumbe kumuita slaa kwa title yake ya UPADRE ni udini? hebu jifunze kujenga hoja we mchadema!
 
Unashangaa nini Hii ni sera aliianzisha Mh Jakaya KIkwete,Ridhiwani,Miraji ,Halfani na Mkewe Salma Kikwete katika kampeni zake za mwaka 2010.
Haitoshi alipokuwa anatangazwa kuwa mshindi bado alisisitiza kwamba nchi immeingia kwenye udini
Haitoshi alipokuwa akizinduwa Bunge alisisitiza kwa mkazo wa ajabu akisema kwamba nchi ina udini na kuna vyama vyenye udini ambavyo wagombea wake walisimamiwa na Kanisa ambao hawakujali hata kuingia IKULU kwa kupanda Maiti za ajabu

Mpaka na kufa nitamchukia kikwete,viongozi waliopo usalama wa Taifa sasa ambao ni waroho wa madaraka wanaoigawa nchi vipande vipande kwa manufaa yao na vizazi vyao
Natusipo simama watanzania kuwakemea leo kiama chake kitatumaliza wote

Unajifanya kipofu?

Hujui email zilizosambazwa kwa wagalatia ili wamsupport slaa?

Hukumbuki kauli ya Kakobe?

Mkuu hii lawama haiepukiki kwa wote, CDM kwa kudhani wakipata support ya kanisa wataingia ikulu na CCM kwa kufichua mpango huo uliopelekea wapenda haki kukichukia CDM.

Mfano angalia jimbo la zitto, JK ameshinda ushindi wa kishindo wakati ubunge kapewa ZZK. Tusipokiri hili tatizo na kukubali kujisahihisha haitasaidia abadan
 
..
Tume ya Katiba... Mmm Jina lenyewe linatisha ila utumbo unaoumwaga ?!!!!.. May be inaashiria tume hii ya katiba inaweza kuwa Na utumbo mwingi mfano wake ndo hivi.. Anyway please nijibu swali langu pale juu...
 
Unajifanya kipofu?

Hujui email zilizosambazwa kwa wagalatia ili wamsupport slaa?

Hukumbuki kauli ya Kakobe?

Mkuu hii lawama haiepukiki kwa wote, CDM kwa kudhani wakipata support ya kanisa wataingia ikulu na CCM kwa kufichua mpango huo uliopelekea wapenda haki kukichukia CDM.

Mfano angalia jimbo la zitto, JK ameshinda ushindi wa kishindo wakati ubunge kapewa ZZK. Tusipokiri hili tatizo na kukubali kujisahihisha haitasaidia abadan

Radio Iman ni ya rafiki yake kikwete Abood tajiri wa mabasi morogoro na yeye na wanaye wana share kabla hajaondoka madarakani ana mengi ya kutuambia atatujibu Kitwana Kondo alimuintroduce kwa Mwinyi akapewa ubunge wa bure kama kijana wa kiislamu mpaka leo kichwa chake kimejaa ubaguzi wa kidini huyu anamega nchi vipande vipande kwa udini hata baki salama anadhani atabaki Raisi milele
 
Radio abood na Radio Iman mbona ni redio mbili tofauti? kama hujui mkuu wangu kaa kimya, abood hana uhusiano hata kidogo na radio imaan yeye ana TV yake, radio yake na business zake. Mkuu vipi? Mbona umekurupuka kiasi hiki! loh
 
Unajifanya kipofu?

Hujui email zilizosambazwa kwa wagalatia ili wamsupport slaa?

Hukumbuki kauli ya Kakobe?

Mkuu hii lawama haiepukiki kwa wote, CDM kwa kudhani wakipata support ya kanisa wataingia ikulu na CCM kwa kufichua mpango huo uliopelekea wapenda haki kukichukia CDM.

Mfano angalia jimbo la zitto, JK ameshinda ushindi wa kishindo wakati ubunge kapewa ZZK. Tusipokiri hili tatizo na kukubali kujisahihisha haitasaidia abadan
Mwasisi wa udini hapa nchini Tanzania anayeulea na kuukomaza ni Raisi wa awamu hii, Raisi KIkwete ,anatumia Bakwata kila kila nyanja ya kujitetea anaposhindwa kutekeleza ahadi alizoahidi kwa wananchi ni Raisi mbaya sana Kuliko wote walio wahi kutawala anagawa nchi yetu huku akijielewa kabisa kwamba anafanya hivyo kwa manufaa yake
Haishangazi kwa sababu hata yeye kuteuliwa kuwa mbunge kwa mara ya kwanza ilikuwa kwa njia hiyo,Mwambieni yeye na wanawe hatabaki salama wote tutaangamia sumu mbaya anapandikiza
 
Radio abood na Radio Iman mbona ni redio mbili tofauti? kama hujui mkuu wangu kaa kimya, abood hana uhusiano hata kidogo na radio imaan yeye ana TV yake, radio yake na business zake. Mkuu vipi? Mbona umekurupuka kiasi hiki! loh

Radio Iman ni redio ya kufungwa mara moja haifai kwa ustawi wa taifa hili waasisi wa taifa hili walituacha kwenye misingi ya umoja,watanzania hawajawahi kuangaliana kwa udini,wala ukabila wala ukanda ,hatutaki kiongozi yeyote anayeona hatari hii halafu akaachia tuu
 
Unajifanya kipofu?

Hujui email zilizosambazwa kwa wagalatia ili wamsupport slaa?

Hukumbuki kauli ya Kakobe?

Mkuu hii lawama haiepukiki kwa wote, CDM kwa kudhani wakipata support ya kanisa wataingia ikulu na CCM kwa kufichua mpango huo uliopelekea wapenda haki kukichukia CDM.

Mfano angalia jimbo la zitto, JK ameshinda ushindi wa kishindo wakati ubunge kapewa ZZK. Tusipokiri hili tatizo na kukubali kujisahihisha haitasaidia abadan

Unakaa na mwanamke huyo ndo mke, epukana na chuki zisizo na faida. Hekima ya kibinadamu kuujua ukweli hasa kupenda kulielewa usilolijua, swali la nyongeza lete ushahidi wa hizo email? Au ndo yale yale ya gazeti la uhuru la leo ya kueneza uwongo eti CHADEMA wamekataliwa kusini, picha zinawaumbua. Imani yako inasema sema ukweli japo kama unauma.
 
Hebu changamsha akili zako zilizochakachuliwa na CCM! Kwa nini aendelee kuitwa Padre kama alishaacha huo upadre na hatarajii tena walahana kibali cha kuifanya kazi ya Mapadre? Kumbuka upadre si usheikh ambao kwa tafsiri una maana pana zaidi yaani kimsingimtu yeyote mwenye staha na umri wa kutosha anaweza kuitwa hivyo, lakini si upadre. Kwa vyovyote kumwita Padre ni udini, uchokozi na uchochezi usio wa lazima uliopandikizwa na ma-freemason hawa CCM wanaohaha kuitafuta damu ya watanzania. Ni fedheha uislamu kutumbukizwa kwenye kashfa hizi na majinuni hawa CCM.
 
aisee ccm ni zaidi ya mkoloni, watu wake wanafiki. Wezi yaani we acha tu nadhani wanaundugu na shetani
 
Wakuu msijiangaishe na Tume ya Katiba ni mwanchama wa UAMSHO ambao nape aliwaita ni majambazi nafikiri hamna haja ya kubishana na mijambazi ni bora kuwaita polisi au kuchukua sheria mkononi na kuichoma
 
aisee ccm ni zaidi ya mkoloni, watu wake wanafiki. Wezi yaani we acha tu nadhani wanaundugu na shetani

Kuhusu lile Soo la riots lilitokea kule Zenji Wazenji wengi wanasema baada ya vijana kuanza kufunga baadhi ya njia kubwa na kuweka ka moto kadogo tuuu...basi CCM walizinduka very quick na kuwatuma UVCCM na kwenda kuchoma makanisa magari na bar chache na polisi waliambiwa wafanye kazi yao ya kurusha mabomu ya machozi mpaka katika maOffice ya mawakili wa sheria......Njama zote hizo CCM/UVCCM Walitumia ili kutaka kuliambia taifa kuwa ni wanachama wa Muamsho ndio waliofanya mambo hayo yote ya kuhatarisha usalama wa nchi ili waweze kutumia nguvu ya kukifungia chama cha Uamsho wasiendelee tena kufanya mihadhara kwa uma wa watu wa Zanzibar:behindsofa: lakini ujanja wao uligundulika kwa Wazanzibari kwa vile walifanikiwa kuwarecord wanavyofanya unyama wao:majani7:

WANACHADEMA TUANZE KUJIPANGA NAMNA YA KUJA KUPAMBANA NA CCM 2015 😛ainkiller: ILI TUWEZE KULIKOMBOA TAIFA LETU LA TANGANYIKA KUTOKA KWA MAFISADI:clap2:
 
Mkuu nisamehe kama nitakuuzi, MKE padri slaa kaoa lini? huenda nipo mbali na matukio!

Pili, title haiondoki kwa kuacha ile shughuli, nafikili umesahau tu naomba nikukumbushe! msigwa na natse wanaendelea kuitwa wachungaji hata baada ya kuwa wanasiasa.

Ndio maana nikasema umeshindwa kujenga hoja, na jibu lako limedhihirisha!

Umeelewa?

du we kweli bogazi, hujui hata tofauti ya padri na mchungaji?padre ni kiongozi wa kiimani kwa roman catholic na hawaruhusiwi kuoa ila mchungaji ni kiongozi wa kiimani wa makanisa ya t.a.g,lutheran n.k na wao wanaruhusiwa kuoa. Hivyo basi kama hujui undani wa mtu jaribu kuuliza then utoe hoja zako za kijinga
 
Unajifanya kipofu?

Hujui email zilizosambazwa kwa wagalatia ili wamsupport slaa?

Hukumbuki kauli ya Kakobe?

Mkuu hii lawama haiepukiki kwa wote, CDM kwa kudhani wakipata support ya kanisa wataingia ikulu na CCM kwa kufichua mpango huo uliopelekea wapenda haki kukichukia CDM.

Mfano angalia jimbo la zitto, JK ameshinda ushindi wa kishindo wakati ubunge kapewa ZZK. Tusipokiri hili tatizo na kukubali kujisahihisha haitasaidia abadan

Tanzania yenyewe ina watu sampuli hii.. Do,?
 
Maada imeenda shule hii. Watanzania wengi bado hawajashtuka kuwa katika vitu vibaya sana kufanywa nchini ni JK kuanza kuhubiri udini alipogundua ngoma nzito uchaguzi wa 2010! Amepanda mbegu mbaya sana itakayosumbua taifa hili kwa muda mrefu kama hatutachukua hatua kali za kuzima kadhia hiyo. Halafu wengine baada ya kuona hawawezi kubatiza CHADEMA ukabila (uchaga) wakaja na wimbo wa "ukanda". Tumefanywa vilaza sana kuimbiwa nyimbo za kipuuzi kiasi hicho. Tangu lini watu wakajitambua kwa kanda? Sauti za watu kama wewe mleta mada ndizo zitakazolikomboa taifa hili.
 
Back
Top Bottom