Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,406
huu mkutano wa nini? i mean wanajadili nini hasa?
Chama kubwa, hadi makwao.
Kumbe mkutano umehudhuriwa na watoto wengi mpaka wamepotea nadhani hata watoto wa zomba,ritz,katiba mpya wamo.
Yani ni wazee tupu!!
Ndio sio wapiga kura!. wanapigishiwa.
Hakika bado CHADEMA itakuwa ni zaidi
watu wa propaganda wa ccm ni mazuzu saana..hata logic ya kufanya mambo hawana...ujinga umewajaa..hivi kwa mtu unayefikiri...ni chama gani cha upinzani ambacho kimeonyesha ufanisi na kupendwa zaidi TZ kati ya cuf,TLP, NCCR na CDM???....jibu ni CDM(ndio wenye wabunge wengi kuliko vyama vingine vya upinzani)...Kwahiyo kwa mantiki ya kawaida ungetegemea kadi zirudishwe kwa wingi kutoka vyama hivyo vingine vya upinzani na si CDM....kwa mantiki tu ndogo ungetegemea labda hata usione kadi za CDM zikirudishwa.....lakini hawa mazuzu wa propaganda za CCM wamehadaa umma kwa kurudisha kadi za CDM peke yake.....watanzania wa leo wanajua yote.....only time will tell...Huu utakuwa usanii mwingine wa ccm,kwa nini ziwe ni kadi za Chadema tu na sio za CUF/TLP/NCCR!!!!?.Mficha ugonjwa kifo humuumbua,hii danganya toto ya ccm 2015 wataumbuka.
Kwa kauli kuwa CCM wanaukimbia uwanja wa Jangwani kwa kuwa hawajazi watu na wanawanachama wachache ambao hawawezi kuja kujaza jangwani.,mbowe hukuwa sahihi.,sitakulazimisha kukubali kwa maneno yangu, bali angalia kwa macho yako na kisha kubali kwa nafsi yako kuwa CHADEMA kuwa level ya CCM ni baadae saaaaaana.View attachment 55896
Hizo zimetengenezwa kariakoo,ni magumashi kadi feki hizo kuzuga watu hapo kiwanjani