Recent content by Yamakagashi

  1. Yamakagashi

    TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

    Dah R. I. P Bibi , najua kwenye death bed yake kuna maneno ameongea hii laana itatafuna mtu kama sio yeye kizazi chake. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Yamakagashi

    Je, wajua mmiliki wa Shule ya Zamzam alikuwa nani hasa? Alifanya kazi zipi enzi za uhai wake?

    "Unaleta ujanja wa darasa la pili unaniibia penseli halafu unanisaidia kuitafuta" Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Yamakagashi

    Kwanini "Dog style" haikutumika kuwasaka waliompiga Lissu risasi?

    Hahaha Shana bangi zake anazijua mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Yamakagashi

    Faru Fausta, ambaye anaaminika kuwa ndiye Faru Mzee zaidi duniani amekufa akiwa na miaka 57

    Fuasta hakuhamishiwa Burigi kweli huko akakutana na vitoto haviwezi kazi akafa kwa sononeko Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Yamakagashi

    Kuna ukweli ukifungiwa na paka chumbani mpambane anaweza kukuua?

    Huyo ni paka au mume? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Yamakagashi

    Polisi: Mmiliki wa shule ZamZam amefariki kwa matatizo ya moyo, hakuna viashiria vya mauaji. Familia yatofautiana na Polisi

    Wacha niamini tu taarifa ya awali... Magonjwa ya moyo siku hizi yame advance yaani yanakuvua nguo, kisha sijui yanakufanya nini mwisho yakukata ubooo duh Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Yamakagashi

    Nyie Tekaneni hapa Molde Norway XMass yangu Imeisha hivo

    "Harudi mtu Bongoa nimeteseka sana aisee" Hii ulimaanisha Bong'oa? Angalia mzee kimtokacho mtu ndicho kilicho ujaza moyo wake Na hizo pozi za picha basi sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Yamakagashi

    Kuku kuchi hawa ni original?

    Dah hilo pozi la huyo kuku angekuwa mwanadamu saa hii angekuwa level za Naomi Campbell ndio hivyo tena kaumbwa kuku Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Yamakagashi

    RPC Shana aapa kutumia 'dog style' kumkamata Muuaji

    Hahaha hii bangi anayovutaga Shana sijui ni ya Orkokola? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Yamakagashi

    Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

    Kafungwa kwenye kiti Kakatwa uume Kanzu imevuliwa ikawekwa pembeni.. Kauliwa Ofisini kwake Maiti kujulikana baada ya siku tano Mnaosema ni mambo ya wanawake mtakuwa hamjafikiria vizuri... Unless awe ametembea na Mke wa Jack Zoka ama Kipilimba. Vinginevyo hakuna raia wa kawaida anaweza...
  11. Yamakagashi

    JamiiForums Usiku wa manane

    Jua linakozama saa hii ni pande za Us anyway good evening, Merry Christmas Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Yamakagashi

    JamiiForums Usiku wa manane

    Uko Us? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Yamakagashi

    JamiiForums Usiku wa manane

    Sikukuu mishe leo siendi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Yamakagashi

    JamiiForums Usiku wa manane

    Asante Mkuu najua bongo hii ni saa tisa usiku Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom